Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Hujui hii kazi ya boda ilivyoMwendeshaji wa boda boda anapata kiasi gani kwa siku. Sio sio malipo ya ruti. Ruti sio pesa ya mwendesha bodaboda hizo kitaalamu wanaita gross sales🤔
Bodaboda gani anapata elfu 7 tu kwa siku ?
Bodaboda analipa kwa boss elfu 10 bado anabaki na hela yake Kama elfu 10 au zaidi..Kama pikipiki Ni ya kwake anapata zaidi ya elfu 15 kwa siku..
Vyema kabisa.Hakuna bodaboda angeendelea kufanya hivyo kazi kwa kipato cha 7000 kwa siku.Hivi kipato cha wastani kwa watanzania wengi ni shillingi ngapi kwa siku?Hali ya uchumi ya watanzania na wengi wa majirani zetu inaeleweka.
Msijifanye kushangaa na kuwashauri watu wale keki kwa kwa sababu kuna ukosefu wa mikate.Kwa mujibu wa takwimu za Umoja wa mataifa na World Bank watanzania wengi wanaishi kwa kipato cha chini ya dola 2 kwa siku.
Huu ndio uhalisia. Mnaishi mijini na kuhukumu watu.Tembeleeni vijijini muone uhalisia wa maisha ya watanzania wengi.
BadoBoda average kwa siku hupata 20-30 elfu Amini hilo baada ya matunizi yakeMwendeshaji wa boda boda anapata kiasi gani kwa siku. Sio sio malipo ya ruti. Ruti sio pesa ya mwendesha bodaboda hizo kitaalamu wanaita gross sales[emoji848]
Mbona kidogo hiyo, mtu anawastani wa mauzo ya 15mln pa day, hata kama anauza siment au nondo na kwa kila mfuko pengine anapata sh 3000 kokotoa hapo uone anaingiza sh? Kwa siku850000 × 365 = 310,250,000
Kwa hiyo wewe ulitaka kutuaminksha unaingiza 310,250,000/- kwa mwaka?
Hili sio tangazo kweli la kupata mademu. I wonder 🤔
Kama kipato chako ni laki nane na nusu kwa siku usinge kuwa na muda wa kutroll mitandaoni kuongea ujinga kwamba bodaboda anapata 7000 kwa siku bila taarifa yoyete labda huyo ni bodaboda wa kijijini ulikoWatanzania tutafute suluhisho na sio kuwa wanafiki. Kipato cha tsh 7,000 kwa siku hakitoshi na ni umasikini. Tunaweza kutofautiana kwenye siasa lakini sio ukweli hili. Badala ya kujidanganya tutafute mbinu bora. Vilevile boda boda hazija tengenezwa kwasababu ya usafiri wa abiria na inatakiwa kuwa na lesini maalumu za bodaboda ili kupunguza ajali ambazo zingeweza kuepukika.
Tusiweke utamaduni wa ubishi usio na msingi hata kwa mambo yaliyo wazi.
Lakini tuulize wataalamu wa afya kama ni vizuri kuendesha Pikipiki kwa masaa 12 kwa siku sita au saba tuone watasemaje. Bodaboda inatakiwa kuwa kama kazi za mpito na jamii zetu zinatakiwa kufikiria mbinu tofauti.
Lakini Mama Samia anajaribu sana kuanzia kwenye Veta na mashamba ya mikakati lakini hii haina maana Lema anachosema sio sawa.
Lakini tumeona umuhimu wa uhuru na mikutano kuruhusiwa sasa tuna mawazo tofauti ya kujadili ili tuwe na jamii bora. Kwanini huu mjadala hauja jadiliwa mpaka leo Lema ndiyo aseme ?
Niongezee tu hapa mimi naamini waendesha bodaboda wataweza kuwa viongozi wa baadae. Mimi mwaka 2000 nilikuwa naingiza kwa pesa za Tsh 95,000 kwa siku. Leo hii kipato changu kwa siku moja ni Tsh 850,000 kabla ya makato. Somo ni kwamba inawezekana lakini lazima ukubali hali halisi
Sasa kama wewe unaendesha bodaboda Kijijini utapataje hata 5000 Kwa siku?Naona watu humu wanatoa tathmini ya mapato ya boda boda kwa kuhisia tu,eti anapata 15000 kwa siku,nyie mnasimuliwa hamjui uhalisia wa biashara hii kwa sasa.boda boda Sasa hivi zimejaa Kila Kona yaani ukifanikiwa kuingiza 10000 kwa siku kwenye boda boda siku hiyo katambike kwenye mizimu ya kwenu,hiyo kwa sasa siyo kazi ni LAANA yule jamaa hakukosea kusema hivyo.Tuache kuropoka vitu tusivyovijua
Asante mkuu. Umefafanua vema ila ngoja nikazie. Tukizungumzia bodaboda tuna makundi 3;Bodaboda gani anapata elfu 7 tu kwa siku ?
Bodaboda analipa kwa boss elfu 10 bado anabaki na hela yake Kama elfu 10 au zaidi..Kama pikipiki Ni ya kwake anapata zaidi ya elfu 15 kwa siku..
Unauhakika faida faida ya mfuko mmoja wa cement ni 3000tshMbona kidogo hiyo, mtu anawastani wa mauzo ya 15mln pa day, hata kama anauza siment au nondo na kwa kila mfuko pengine anapata sh 3000 kokotoa hapo uone anaingiza sh? Kwa siku
Huko sahihi mkuu hata yeye akiingia ikulu bodaboda na wamachinga ni ngumu kuzuia watakuwepo tu, vilevile jamii yetu ya kiafrica haipendi kuambiwa ukweli ukisema ukweli wewe ni mbaya, wengi walimchukia jpm kwa sababu ya ukweli wake.Nchi maskini sana acheni watu wajisaidie wanavyoweza, umachinga na bodaboda ndio kazi nyingi zinazopatikana kwa sasa acha watu wafanye ili waishi, siipendi CCM naamini imejaa wapumbavu watupu, Lema needs to chill asilete akili yake na mawazo yake ya Canada kwa nchi kama Tanzania ambayo watu wengi hawajui haki zao na wanawaona viongozi wa serikali kama class nyingine ya hali ya juu
Ndio maana anadharau bodaboda si ndio?Mbona kidogo hiyo, mtu anawastani wa mauzo ya 15mln pa day, hata kama anauza siment au nondo na kwa kila mfuko pengine anapata sh 3000 kokotoa hapo uone anaingiza sh? Kwa siku
kiafya na kiusalama sio sawa kuzunguka na boda boda masaa zaidi ya 12 na ndio mana tunaona ajali nyingi zinatokea vijana wanavunjika wengi wamepata ulemavu wa kudumu kuruhusu hii mikutano ya kisiasa kunasaidia kupata mawazo mbadala ni muda sasa tuangalie tutazitumiaje raslimali tulizonazo kama ardhi mito na maziwa tuwawezesha vijana kujikwamua kiuchumi pasipo na athari zote za kiafya na kiusalamaNdio maana anadharau bodaboda si ndio?
Mtu anayeingiza laki nane na anajua maisha ni nini hawezi dharau elfu 7. .
aliyekuambia anazunguka masaa 12 ni nani? uliambiwa na nani hivyokiafya na kiusalama sio sawa kuzunguka na boda boda masaa zaidi ya 12 na ndio mana tunaona ajali nyingi zinatokea vijana wanavunjika wengi wamepata ulemavu wa kudumu kuruhusu hii mikutano ya kisiasa kunasaidia kupata mawazo mbadala ni muda sasa tuangalie tutazitumiaje raslimali tulizonazo kama ardhi mito na maziwa tuwawezesha vijana kujikwamua kiuchumi pasipo na athari zote za kiafya na kiusalama
Wewe unaishi bongo? wengi wanakesha ili kupata rizikialiyekuambia anazunguka masaa 12 ni nani? uliambiwa na nani hivyo
Unazungumza kwa sababu hulipiii mdomo kodi 😄 🤣Wewe unaishi bongo? wengi wanakesha ili kupata riziki