Tuache unafiki wanaume wenzangu, utaweza kuongoza nyumba kikamilifu kama umri wako na wa mkeo ni sawa?

Umiliki wa borodinda na korodani zinazofanya kazi kisawasawa automatically kunakupatia umri wa ziada kwa ulie nae hata kama kakupita miaka 30.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Rika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates,

Kupendana hakuna tatizo lakini utaweza kuongoza bila kuonekana kama mwenza tu wa kawaida badala ya kuonekana kama kiongozi wa nyumba ?
Hata kama amekuzidi umri miaka kadhaa unamuongoza. Uwe tu na busara, nguvu ya kifedha na kifua cha kuhandle mihemko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…