Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Ni mbaya sana kwa vijana wa sasa.Insecurity,
Tafuta helaaaaaa
Achana na huyo mtoto kabla sijamtumia pmπ€£π usinichonganishe na mheshimiwa mwenye jina la ubini kama la yule mchungaji aliefungiwa kanisa.
Huyo si ni babu ayubu kabisaHuyo ndio mtoto kabisa, bora ungejilinganisha na mwingine.
Hakuna babu hapo.Huyo si ni babu ayubu kabisa
Dhambi hiiNgumu,kuna jamaa kaoa ana miaka 27 mke anamiaka 25, namtombea
Exactly π―Jitahidi sana mke asikuzidi, umri, akili na kipato....tena mara mia akuzidi umri ila sio akili na kipato
Rika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates,
Kupendana hakuna tatizo lakini utaweza kuongoza bila kuonekana kama mwenza tu wa kawaida badala ya kuonekana kama kiongozi wa nyumba ?
Ukiwa mwanaume unaweza kumuoa mama yako na kumuongoza sema shida utachapiwa sanaRika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates,
Kupendana hakuna tatizo lakini utaweza kuongoza bila kuonekana kama mwenza tu wa kawaida badala ya kuonekana kama kiongozi wa nyumba ?
Niache naona unataka kunifunga πHakuna babu hapo.
Ila dipresheni kukwambia usubiri watoto wenzio waajiriwe, ndio ukajibebea form twoπ€£π€£
Hata kama kakuzidi unatakiwa umuongoze wewe ndinaRika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates,
Kupendana hakuna tatizo lakini utaweza kuongoza bila kuonekana kama mwenza tu wa kawaida badala ya kuonekana kama kiongozi wa nyumba ?
Shida akili hazina kipimo maalumu tunakisiakisia tu., kwenye maisha Kuna mtu anaweza kuwa anakuheshimu lakini honestly ndani ya moyo wake anajijua anakuzidi akili bila kujali ni mpenzi wako au ni nani.,kama huna c ya physics form 4 huwezi kuelewaππJitahidi sana mke asikuzidi, umri, akili na kipato....tena mara mia akuzidi umri ila sio akili na kipato
Mtu anaekuzidi akili unamjua tu ipo waziShida akili hazina kipimo maalumu tunakisiakisia tu., kwenye maisha Kuna mtu anaweza kuwa anakuheshimu lakini honestly ndani ya moyo wake anajijua anakuzidi akili bila kujali ni mpenzi wako au ni nani.,kama huna c ya physics form 4 huwezi kuelewaππ
Mwaka 93? Kwahiyo unayo 93?Kumbe nawe unakaribia umri wa kustaafu Kwa lazima π
Mimi nilistaafu Kwa hiyari Mwaka 93 ujue π€
Mimi na mke wangu tumezidiana miaka miwili tu na mambo yanaenda vizuriRika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates,
Kupendana hakuna tatizo lakini utaweza kuongoza bila kuonekana kama mwenza tu wa kawaida badala ya kuonekana kama kiongozi wa nyumba ?
Ndiyo ilikuwa Mwaka 93, kwasasa nimegonga 87 π€Mwaka 93? Kwahiyo unayo 93?
Shikamoo mzeeNdiyo ilikuwa Mwaka 93, kwasasa nimegonga 87 π€
Mwanamke ambae unalingana nae umri kakuzidi kila kitu kwenye nyanja ya mahudiano. Kuanzia ujanja, uzoefu, body count n.k hii ni kwa sababu mwanamke anaingia kwenye dating pool mapema sana ukilinganisha na mwanaume. Ukizingatia kwamba kiongozi ni vyema ukawa wise zaidi ya unaemuongoza basi ni vizuri ukampita mkeo angalao miaka 8 hiviRika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates,
Kupendana hakuna tatizo lakini utaweza kuongoza bila kuonekana kama mwenza tu wa kawaida badala ya kuonekana kama kiongozi wa nyumba ?