Tuache upotoshaji; Deo Bonge alikuwa anakamatwa sio kutekwa

Kutetea hili, inataka moyo uliozoea damu za watu, changanya bangi, ukichaa na itikadi kali za kisiasa, na posho haramu. Kwa mtu wa kawaida hapana
 
Mtoa mada ni mpumbavu sana kuleta tafsiri ya yeye kurahisisha kukamatwa kwake. Nina imani mtoa mada ndiye mtekaji au anawajua watekaji. Nasema hivi kwasababu hata Marehemu Ally Kibao alichukuliwa ndani ya basi bila purukushani zozote. Kesho yake mwili wake ulipatikana msitu wa Ununio ukiwa umeharibiwa vibaya hasa usoni. Kinachomfanya mtoa mada ajaribu kutushawishi kwamba haukuwa utekaji ni kwasababu ya kuona video. Lakini anasahau kauli za hao watekaji walikuwa wakitamka nini. Next time usirudie kusema hivyo unatuboa. Ni afadhali ukamwambie mkeo sikioni maneno kama hayo. Kama haukuwa utekaji kwanini hawakumruhusu awasiliane na ndugu zake? Acha uzandiki. Nimesema.
 
Wewe kiumbe huna tofauti na 💩
 
JF kuna wehu kumbe!.
 
Una hoja ila watz wanapenda kuunganisha matukio
Ubongo wao ushakua na athari na woga dhidi ya serikali
Polisi aje kukukamata ukileta fujo haezi kukuacha na fujo zako
 
Nchi imejaa wajinga watupu, huyu ni mmoja wao
 
Mleta mada unawashwa kutukanwa??
Kyundu lako liko wazi sana.
Unajifanya unajua kuchambua matukio??
Acha hizo hata kama unatafuta mume sio kwa mbinu hizo,jiheshimu.!!
 
Sasa kama wale walikuwa askari wanamkamata tu kwa nini hawajitokezi na kuweka hilo wazi na kumkamata?

Waseme wao ni askari wa kituo gani, wanamkamata kwa nini.
 
Unajua procedure za kumkamata mhalifu,ziko wazi na polisi wakamataji hata akiwa mmoja tu akiamua kukukamata aakukamata hata uwe na kilo mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…