Startimes ipo poa sana,nilikuwa natumia cha 21000 kwa mwezi nikanogewa na kuanza kutumia cha 36000 kwa mwezi unaenjoy mpk basi
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Tamthilia za ki Hindi sizipendi na ndio makao makuu ya Startimes.
Ligi kuu Tz na EPL ndo ligi zangu pendwa hao jamaa hawana. Ni bora nibaki na azam ambao kidogo wanazingatia maadili. Hawaoneshagi tamthilia zenye kupigana denda hovyo hovyo hii ni hatar sana kwa watoto majumbani.
Ukitoa Ligi ya mpira wa Bongo azam ni useless.
Kwa upande wa football, ukitoa DSTV king'amuzi kinachofuata kwa kuonyesha mashindano mengi ya Football ni Startimes Tena kwa HD ya ubora, wanaonyesha Bundasiliga, Laliga, Chinese super league, Copa Italia, Copa delay, Mashindano ya Euro, Word cup qualify for Europe, Word cup qualify for Asian , Word cup, kwa upande wa Africa wanaonyesha ligi ya Kenya na Uganda Na pia wametangaza kwamba wataonyesha AFCON mechi zote 52, Mimi sipo kwenye udini nipo ki uharisia, mimi ni mtumiaji mzuri wa Startimes, nilitaka kununua king'amuzi cha azam family yangu imegoma kabisa, Ligi kuu Tanzania bara nimeamua niwe naangalia vibanda umiza
UDINI UDINI UDINI UDINI!! Nyuzi yote inanuka udini. Unajifanya unazunguuuukaLengo kuu la hii mada ni UDINI
Bali wana tamthilia za kiphilipino. Na humo hukosi kale kamchezo ka mapadriMi natumiaga dishi la Startimes ila king'amuzi cha Zuku. Ntalipia Startimes nione tofauti maana nao hawana maudhui ya mashariki ya kati kama wale jamaa ambao kila mtu anajifanya mwarabu
Sisi wa Antenna twenty tu......umesahau kuwa pia wanaonesha Championship...Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana
Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia
Ligi kubwa za ulaya
Lalita spain
Bundaslige ujerumani
Ligi uholanzi
Ligi ya mpira wa kikapu NBA USA
Chanel za watoto,tamlithilia, habari na vingine vingine kwa 21,000tu
Local channels bure kabisa
Kikubwa zaidi haina maudhui ya udini
Startimes ni takataka kabisa, picha hazina ubora kabisa najuta kupoteza fedha kukinunua
Sisi wa Antenna twenty tu......umesahau kuwa pia wanaonesha Championship...
Skia sasa!!Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana
Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia
Ligi kubwa za ulaya
Lalita spain
Bundaslige ujerumani
Ligi uholanzi
Ligi ya mpira wa kikapu NBA USA
Chanel za watoto,tamlithilia, habari na vingine vingine kwa 21,000tu
Local channels bure kabisa
Kikubwa zaidi haina maudhui ya udini
Cha dish naona kina HD bora sana, au pengine TV yako au waya wa TV kwenda kwenye decoder ndo vinakuangusha.Startimes ni takataka kabisa, picha hazina ubora kabisa najuta kupoteza fedha kukinunua
Cha dish naona kina HD bora sana
Kwa muonekano wa picha za azam siwezi spend hata 5minutes naangalia TV 🤣 🤣 🤣 ,Babalao ongelea DSTV hukoAzam ni Babalao Bongo, nine nunua decoder ya Startime mpaka nimejuta. ila kwa sasa na Enjoy na Azam Tv. Kwa Bongo Azam inakuja kwa kasi sana, Wame invest pesa nyingi sana kwanye Entertainment ya Tanzania, na Retain wanaziona.
Kwa muonekano wa picha za azam siwezi spend hata 5minutes naangalia TV [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] ,Babalao ongelea DSTV huko
This is a shit joke.Fact Startimes in the coming years watakuwa ndio bora tanzania na africa
This is a shit joke.
Startimes ilianza kabla ya Azam lakini mpaka leo hakuna cha maana.
Kama azam alikuja 2013 na amekuja kumpita startimes hapohapo basi usitegemee mabadiliko yoyote kutoka kwao.
Nina king'amuzi cha startimes na azam lakini startimes imenishinda kwa maudhui mabovu na quality mbovu na wakati natumia Smart tv na hdmi lakini bado hakuna kitu.
Na uwezi kuongelea ubora wa kitu kwa kitu kimoja tu kama mpira huu ni ujinga.
Mimi huwezi kuniweka kwenye tv niangalie mpria bali kuna wapenda movies, music , documentaries, science na maudhui ya kidini considering azam ina maudhui ya dini zote unless wewe ni religious ignorant.
Hii mada imekaa kwenye chuki dhaifu na kijinga za dini, I know what I'm talking about.