Tuache utani Startimes ndio king'amuzi bora sana

There you're, Startimes imekamilika kila idara
Sioni haja ya kuangalia uchafu unaoitwa ligi ya Tanzania
Mechi mbili za kuangalia kwa msimu ndio ununue king'muzi?
Sasa Unawatangazia Watanzania Hicho kisimbuzi chako
Huku ukipondea Wanacho kipenda Ligi kuu ya Tanzania We Umerogwa
Kama Unapenda ww hiyo Startime kivyako
wengine Tunaona Kama Takataka tu
 
Huyo jamaa mpuuzi kweli
Yupo kichuki chuki sijui Wakala wa Hilo likampuni basi anahisi wote Wapuuzi
Niache Azam nitie Hilo kha
 
Ukitoa Ligi ya mpira wa Bongo azam ni useless.

Seriously mkuu unadhani wote walionunua Azam ni kwa ajili ya Mpira?.
Unaacha Documentaries, Music, Movies za hollywood na ndani, Maudhui ya dini zote, News channels, Children's channels.
Na mimi huwezi nikuta mbele ya tv kama hakuna Documentaries au Movies.

You know what's useless mkuu? you'll figure out.
 
Nina king'amuzi cha dstv na star times ila star sijawahi kulipia toka 2018.

Mimi sio shabiki wa mpira so kwenye mpira wowote huwezi kunikuta, nilipenda dstv sababu ya programu zao.

Azam ni king'amuzi cha hovyo kuanzia bei hadi huduma. Juzi hapa nimewanunulia home azam eti 210k, nikauliza sababu, eti unalazimishwa ulipie vifurushi vya miezi 3 vya 35k bila kupenda.

Kile king'amuzi kimejaa maudhui ya dini ya kiislamu mwanzo mwisho. Bora wakiite Azam islamic media group.
 
Burudani kwa wote kumbe Ni burudani ya kiislamu kwa wote
 
Muvi kwenye Mambo Moto au Mambo swahili tv na muvi yao chafu eti Mapochopocho.
 
Startimes ina kila aina ya burudani kaka na sio biased km wengine
Ok nimeelewa, hii wazi ni lugha ya biashara bila shaka wewe utakuwa wakala wa hao jamaa wa kichina, sababu kama ungekuwa mtu wa kawaida lazima ungepanic.
Na bila shaka hii mada itakuwa imejaa mawakala au wafanyakazi loyal wa hii company ya kichina Startimes.

Mimi ni mtumiaji wa startimes tangu miaka ya 2009 au 2010 kama sikosei na niliacha kuwa mtumiaji baada ya AZAMTV kuanza kazi miaka ya 2013, ukweli ni kwamba huduma zao ni mbovu hivyo nawashauri waboreshe Quality yao iwe HD kama Azam na waboreshe maudhui kwa kuweka channels kubwa za Movies duniani kama MBC2, MBC MAX na MBC ACTION again kama AzamTv na upande wa Documentaries wajaze zile channel pendwa duniani kama Discovery science, Natgeo na ID again kama AzamTv.

Good luck on your business.
 
Vipi wanaonyesha ligi za kibongo Ukitoa hizo lig ulizoziorodhesha?Kama wanaonyesha kesho nanunua king'amuz chao
 
Kama hawana ligi ya bongo Ni bure tu.
Wakitaka wampiku Azam waweke lig ya Bongo lakin najua haiwezekan maana mwenye mkataba Ni Azam pekee
 
Kama yapi hayo?
Na zile channels za dini ya kikristo ni waislamu wale?

Kuna tatizo gani muislamu mwenye company kubwa afrika kuweka maudhui ya kiislamu kwenye tv yake?

Una inferiority complex wewe na chuki za kidini grow up goddamnit.
 
Nina karibia miezi sita hivi sijalipia staataimz ila eatv,channel ten,safari tv,itv,startv,zbc,cloudz tv zote bureee
 
Azam tv ukitoa NBC Haina kitu kingine
Una miaka mingapi mkuu?

Ngoja nitabiri, wewe lazima utakuwa under20 kikawaida hivi vijamaa vinadhani opinions, perspective au mitazamo yao huwa ni kama fact kwa kila mtu hivyo vinakuwa vinaropoka jinsi vinajisikia vikidhani kila wanachokisema kitakuwa ni Fact na Ukweli kwa wote.

So it's not your fault just grow up first.
 
Sawa ila customer care ni mbovu mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…