Tuache utani Startimes ndio king'amuzi bora sana

Startimes ni HD kaka labda kama unatumia chogo
huwezi kunidanganya boss nimetumia hiyo takataka tangu 2012 Chanel hovyo hovyo. TV ya chogo sasa natumia azam picha clear Chanel zenye akili.
Kama wewe startimes kimekuvutia endelea kuwachangia.
 
Wee kweli ni teenager.Haina haja ya kuuliza umri wako. Kuwa kwanza ndo uje na hoja za kikubwa.
 
Ubora wa picha vipi?
 
Startimes na DStv ni bora sana kaka vitadumu sana hivyo vingine ni swala la muda tu
Sasa Unawatangazia Watanzania Hicho kisimbuzi chako
Huku ukipondea Wanacho kipenda Ligi kuu ya Tanzania We Umerogwa
Kama Unapenda ww hiyo Startime kivyako
wengine Tunaona Kama Takataka tu
 
Startimes na DStv kuna kila kitu
 
Hiyo mikataba ya kufisadi karia aliyohongwa kuuza TV rights kwa kampuni moja wait and see
Kama hawana ligi ya bongo Ni bure tu.
Wakitaka wampiku Azam waweke lig ya Bongo lakin najua haiwezekan maana mwenye mkataba Ni Azam pekee
 
DStv na AZAM hivyo vingine hata unipe bure,
Nilianza na star time nilikigawa bure.
 
Sio kweli aise star time iko mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…