Tuacheni Kujipa Moyo, Ndoa kwa Kizazi cha Sasa ni Gereza la Mateso

Ndoa ni mpango wa Mungu. Kinyume cha ndoa ni doa, na ukitaka kuliepuka doa, OA.
NDOA
DOA
OA
Mi nimeoa zamani tu, na watoto ninao wa kutosha, ila ndoa sifungi, ujue kutofautisha dogo..; Kataa ndoa. Tambua watu ‘wanafunga ndoa’, kwani iwe ‘kufunga’ na sio ‘kufungua’, kwamba ni kifungo au sio? 😂😂
 
Ndoa zilishakufa tangu waende BEIJING kukutana na yule bwana lucifer..... Na zitaendelea kuzikwa Kadri mda unavyoyoyoma.
THE DEVIL IS NOT YOUR FRIEND!! Wahenga walisema.
 
Watakuja kupinga wale waliorogwa na uchawi wa Utandawazi na demokrasia ya utandawazi ktk mapenzi.

Mimi huwa nasema na nakazia UTAKE AMA USITAKE, [emoji117] Mwanaume ndiye MUNGU wa dunian aliyeumbwa sawa na Miungu(malaika) wa mbinguni pia akapewa mamlaka ya kuongoza viumbe vyote duniani kupitia akili na utashi wake.

Baada ya mwanaume kupewa vazi la kidunia yaani mwili, ndipo akafanyiwa sayansi ya uzazi ya kuunda kiumbe kipya kutoka ktk mwili, nafsi, roho, akili na mawazo ya mwanaume huyo ndipo akaibuka kiumbe dhaifu yaani mwana mke ama mwana wa mwanaume mwenye UKE kiufupi mwana(mtoto) mwenye UKE(MWANA-MKE).

na mtoto huyu(mwanamke) kwakuwa alikuwa dhaifu kinguvu za roho basi alishindwa vishawishi vya nyoka na atimaye shetani akafanikiwa lengo lake, jiulize kwann shetan hakumface direct mwanaume kumdanganya? Sababu kuu ni ufanano wa shetan na huyo mtu mwanaume ktk hali ya Uungu na nguvu.

Mwanamke anapokwenda kinyume na sheria za asili lazima mambo yavurugike, mwanaume unapokwenda kinyume na sheria zako za kifalme na uungu ulizopewa za kutawala ndipo mivurugani inatokea katika jamii.

Ni rahisi kwa mwanaune kuwahandle wanawake hata100 lkn ngumu kwa mwanamke kuwatumikia mabwana hata10 akawatimizia haja zao kiukamilifu, isipokuwa mwanaume.

Hizo elimu zenu uchwara za kiutandawazi na hiyo 50/50 sijui watu wote ni sawa huo ni uongo, BINADAMU HATUKO SAWA, WALA WATU HAWAKO SAWA, hivyo hakuna usawa duniani hiyo toeni akilini.

Matatizo ya ndoa kuvunjika, migogoro ya kifamilia, koo, migongano ya urithi na uongozi kitaifa na changamoto zingine ni matokeo ya Anguko la mwanaume kwa kutotii sheria za uungu za asili na kuukumbatia ushenzi wa kiutandawazi na maadili ya kijinga jinga.

[emoji117]KIJANA: KATAA NDOA ZA MICHONGO TAFUTA PESA NA AFYA YA AKILI NA NDIPO HAYO MENGINEYO UTAZIDISHIWA.
 
Mwalimu wako alipata tabu kukufundisha, mzazi wako alipoteza pesa kukusomesha bora hiyo pesa angenunua mashamba awekeze angepata faida.

Mtoa mada hakuna sehemu aliyosema ama kakataza watu wasioe bali kakazia mwanaume kuurudia uanaume wake na sheria zake za kizaman ili aweze kuishi vzr na mwanamke, pia mwanamke kutii sheria za asili ambazo zilitumiwa na watu wa zamani ktk ndoa,

Na kakazia kuwa kama mwanaume hana uwezo wa kumuhandle mwanamke kwann aoe? kama sio kutafta matatizo, na mwanamke kama hana uwezo wa kutii sheria za asili za ndoa kwanini aolewe? Hapa ndipo linapoibuka Suala la KATAA NDOA ZA MICHONGO michongo yenyewe ndio hizo ndoa za kuoa watu wasiojielewa wala kujua maana ya ndoa.

Mnapocomment muwe mnasoma vizuri maana kabla ya kupayuka humu
 
Acha upumbavu, hakuna sehemu umeambiwa ukatae ndoa na mtoa mada, ila umeambiwa utumie sheria za asili(zamani)ili uweze kuyamudu mapenzi, Watanzania wengi kweli akili bado ni takataka, kusoma unaweza lakini kuelewa huwezi? Umuhimu wa shule ukowapi hapo? Sasa watoto wako utawafundisha nini kama huwezi kuelewa mada nyepesi kama hii? Ninyi ndio mnaofanya wanawake wadharaulike na kuongeza idadi ya machokoraa mitaani sababu ya kuikataa elimu asilia ya mahusiano.

Mimi kazi yangu ni kudeal na vichwa panzi kama ninyi katika mada Ngumu mnazoforce kuchangia upupu wenu.
 
Wewe ndo umewashwa na umejikuna pasipo husika. Mtoa mada ni mwandishi mzuri tu na huwa namuelewa. Nawajibu wanao kuja kucomment kwasababu huwa nakutana nao kwenye hizi mada mara nyingi. Na nnachokiongea ntakisimamia hadi siku ya mwisho. Acheni watu waoane wakishindwana watawanyike mbona simple. Msituletee kizazi haramu hapa. Na kwanza nyie ndo mnaongoza kutukana single mothers humu ila sijawahi skia mtu akitukana single father. Hamjielewi

Hilo la kupoteza ada sijui mwalimu wangu sikumuelewa utajua wewe na mzazi wako aliekulea kama mwanaume ila unakuja kumuaibisha huku.
 
Attention seeker. Am sorry man you hit a wrong door. Unazidi kuprove kati yangu na wewe nani MPUMBAVU na nyie ndio mashoga wenyewe tunaowapinga kenge mpeku wewe.
 
Mkuu heshima kwako,
Hoja zako na maelezo ni za akili kubwa sana.
 
Kumbe siku hizi kuna mume aliyekwisha tumika.
ki uhalisia kwa maisha ya mjini watu wote tumetumika kabla ya ndoa wachache sana hawajatumika japo wanawake wanatumika zaidi kwa kuwa wao wanaenda mbali sana kwa kufiwa na watoto waliotarajiwa!
kwa hapa naongelea kuolewa na mwanaume aliyefiwa na mkewe au kuachana na mkewe wa ndoa za makaratasi.
 
Kwako binafsi, I married kwa 15yrs now sijawahi kuona jipya la kuwafanya vijana mkatae ndoa

Mapya yapo mengi Sana Mkuu.
Miaka 15 ni mingi mno Kwa Dunia kutoa Akiba yake ya mapya.

Ni vile hautaki kuona Vijana wanahoja zipi.
Mimi nipo kwenye Ndoa Mwaka wa Saba huu.
Lakini kila Siku naona vitu vipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…