Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!

Kwa nini usinyamaze, mbina unakuwa shetani hivi. Unatibua nyongo za watu. Aliyefanya tukio anajulikana ni Issak Maliyamungu, anajulikana fika.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. Tuiachie "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
wananchi wamechoka na matukio yanayotokea nchini na wana haki ya kuhoji na ikibidi kuhukumu pale majibu ya msingi yanapokosekana. hatuwezi kusubiria karma (if there's...) kuja kutoa hukumu, ni sawa na duwa la kuku...mwewe siku zote haathiriki na ndo anazidi kuchukua vifaranga! nafikiri ni muda mwafaka kwa wananchi kujilinda wenyewe huku wakitambua serikali ndo adui yao namba 1.
 
Pasco uliwahi mno kukimbilia verified ID kwa sifa ya siku moja na sasa inakugharimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hilo jina la PhD unalidhalilisha jiite zero kwa sababu umeandika pumba
 
Kama ni hivyo tuambie ni Mani, au nenda kavisaidie vyombo VYA kimataifa kumweka nguvuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Paskali sisi hatuhukumu, bali tunamhukumu aliyemhukumu Tundu Lissu kwa kauli zake zilizo juu ya sheria zilizopelekea ndugu yetu kukutwa na mabaya haya. Sisi tunatimiza tuu maandiko
 
Paskali,si kila aliyefanya uovu duniani amelipwa hapa hapa.Mfano mzuri ni Bush na Blair wanadunda kwa raha zao baada ya kusababisha maumivu na vifo kwa namilioni ya watu Iraq Afghanistan,Libya nk

Pili kumbuka ile kanuni kubwa ya upelelezi ya Sherlock Holmes;-
" Kati uchunguzi ukiondoa vyote visivyohusika kilichobaki ndio muhusika"

Kwa suala la Tundu ukiondoa washukiwa ambao hawana uwezo wa kutekeleza shambulio lile aliyebaki mwenye uwezo ndiye muhusika
Suala lipo wazi mno
 
Kuna vitu vinajionyesha wazi siku hizi. Kwa waliobahatika kuangalia matukio mawali ya kukabidhiwa ripoti ya almasi na tanzanite na hii ya kumwapisha jaji mkuu sikuwaona viongozj wa dini za kikristo aidha akiyambulishwa kama wale mashehe au kuwepo bila kutambulishwa. Je, walisusia mwaliko au hawakualikwa? Au mie nina uoni hafifu? Nisahihisheni na au nipeni majibu.
 

kar·ma
ˈkärmə/
noun
noun: karma
  1. (in Hinduism and Buddhism) the sum of a person's actions in this and previous states of existence, viewed as deciding their fate in future existences.
    • informal
      destiny or fate, following as effect from cause.

  2. hii ni ibada ya miungu ya uongo achana nayo itakupoteza kabisa. it's idolatry.
 
Hivi ndugu yangu paskali,Mtu akisema ukweli...amehukumu?
Waliompiga TL Risasi ndo walimhukumu?.
Mimi na wewe ni wakristu....Yesu alihukumiwa kwa kusema ukweli,tena kwa kuitwa mchochezi.
Leo tunaposoma historia ya ukristu,Tunatambua kuwa wayahudi ndo walikuwa wachochezi kwa kumsingizia yesu makosa ili lengo lao la kumuua Yesu itimie.Vile vile wayahudi wa tanzania ndo walianza kumsingizia TL Kuwa ni mchochezi ili lengo lao la kumuua litimie,wakampiga TL Risasi..
 
Ila pia kwa jicho la tatu unaweza sema pia yaliyomkuta Lissu ni KARMA, yategemea uko upande gani!!
 
Kaka hapa leo tegemea nothing BUT povu kuelekezwa upande wako!
 
Tunajua unamtetea msukuma mwenzio
 
Mkuu tuombee basi na sie wengine maana wewe maombi yako ukiomba ndiyo unajibiwa na Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayalla, umejitahidi kutoa ushauri, lkn ninakukumbusha kuepuka kuelezea habari ya Lissu kwa kipindi hiki ambacho tuna maumivu Moyoni! Tunalitizama janga lililompata Lissu nakuliona dhahili km tuyaonavyo mawingu angani na kutabiri ama Mvua inataka kunyesha au la!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…