Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kuna clip inaonuesha Sheikh anaomba Sele afe ndani ya siku saba, nimemshangaa sana......sijawahi ona wala kusikia dini inaombea mtu afe hata kama ametenda dhambi gani......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ipo kwenye mapokeo yao waliyopata kutoka kwa Walimu waoKuna video jamaa mwingine kapost Whatsapp amenukuu aya anasema Waislamu wamsamehe Afande Sele kashaomba msamaha, mashehe wasiwe wakali waseme na watu kwa upole.
A very touching and compassionate side of Islam. Nimeipenda.
Hapo ndipo utajua Uislamu una sura tofauti.
Katiba inasema kuna uhuru wa kuabudu. Afande Sele alitoa audio moja ambayo haikuwa na maadili au maneno mazuri. Alimtukana mungu.
Kuna watu wanataka ifanya issue.mimi naamini kwa uwezo wake mungu huyo anaweza jipigania. Mungu mkuu hahitaji jeshi la wanadamu kumpa support.
But zaidi sikusikia akimtaja mungu wa mtu yeyote. Why sasa muanze ifanya kuwa ni issue? Ni kukosa kazi,kutokuwa na elimu,kutokuwa na ufahamu na uwezo wa kufikiri.
Yeye anaamini mungu si kitu na ametoa lugha ya kuudhi kwa mungu.wewe unapata wapi ujasiri wa kusema kamtukana mungu wako? Na je mungu akiitwa aje atoe ushahidi ameumizwa kiasi gani na maneno ya afande sele atakuja?
Lakini ikiwa zikapita siku hizo zilizotamkwa na asipokufa je itamanisha huyo mungu hana lolote? Na je akifa ndani ya siku hizo itaaminisha wengine kuwa mungu alichukia?kuna tofauti gani ukagombana na jirani mchawi akasema kesho hufiki na usiku ukafa?je naye ni mungu?
Na sisi tumemkufuru mara ngapi kwa kutenda dhambi ? Afande Sele hajawah kuwa na akili timamu toka miaka mingi imepita wenye akili wala hatuhitaji kuhangaika naye. Zaidi mna m promote tu.
But simuungi mkono kwa lugha chafu aliyotumia. Mimi naamini Mungu wangu ana uwezo mkubwa na atajionesha uwezo wake. Si lazima mpaka afande sele amtambue. Hana haja. Na walio karibu naye wamuase kuacha tumia vitu vinavyomchanganya akili.
bwege kilaza mwingine huyuWacha wapumbavu wawatetee wapumbavu wenzao.
Hivyo, ambao tunaamini kuwa Mwenye Enzi Mungu alisikia kilio chetu, na kuamua kuliondoa JIWE, wewe haumtambui?Hata nikiunganishwa, hilo halitathibitisha Mungu yupo.
Thibitisha Mungu yupo.
Hata nikiunganishwa, hilo halitathibitisha Mungu yupo.
Thibitisha Mungu yupo.
Kuna clip inaonuesha Sheikh anaomba Sele afe ndani ya siku saba, nimemshangaa sana......sijawahi ona wala kusikia dini inaombea mtu afe hata kama ametenda dhambi gani......
Kwanini wanatumia nguvu wakati yule bwana anahitaji kusaidiwa na sio kuhukumiwa?Katiba inasema kuna uhuru wa kuabudu. Afande Sele alitoa audio moja ambayo haikuwa na maadili au maneno mazuri. Alimtukana mungu.
Kuna watu wanataka ifanya issue.mimi naamini kwa uwezo wake mungu huyo anaweza jipigania. Mungu mkuu hahitaji jeshi la wanadamu kumpa support.
But zaidi sikusikia akimtaja mungu wa mtu yeyote. Why sasa muanze ifanya kuwa ni issue? Ni kukosa kazi,kutokuwa na elimu,kutokuwa na ufahamu na uwezo wa kufikiri.
Yeye anaamini mungu si kitu na ametoa lugha ya kuudhi kwa mungu.wewe unapata wapi ujasiri wa kusema kamtukana mungu wako? Na je mungu akiitwa aje atoe ushahidi ameumizwa kiasi gani na maneno ya afande sele atakuja?
Lakini ikiwa zikapita siku hizo zilizotamkwa na asipokufa je itamanisha huyo mungu hana lolote? Na je akifa ndani ya siku hizo itaaminisha wengine kuwa mungu alichukia?kuna tofauti gani ukagombana na jirani mchawi akasema kesho hufiki na usiku ukafa?je naye ni mungu?
Na sisi tumemkufuru mara ngapi kwa kutenda dhambi ? Afande Sele hajawah kuwa na akili timamu toka miaka mingi imepita wenye akili wala hatuhitaji kuhangaika naye. Zaidi mna m promote tu.
But simuungi mkono kwa lugha chafu aliyotumia. Mimi naamini Mungu wangu ana uwezo mkubwa na atajionesha uwezo wake. Si lazima mpaka afande sele amtambue. Hana haja. Na walio karibu naye wamuase kuacha tumia vitu vinavyomchanganya akili.
Ni kukosa Busara,Hekima na Roho ya Mungu. Huwezi mhukumu mtu kama afande sele kwa yale maneno.kuwa afe. Afe kwa lipi?Kwanini wanatumia nguvu wakati yule bwana anahitaji kusaidiwa na sio kuhukumiwa?
Nina imani kuwa, Sele angemtukana yule MTUME "M", waalaaaaa jamaa wasingesubiri… eti mpaka Mwenyezi Mungu amuadhibu! Wangeshamuadhibu! Jamaa hawana utani kwa MTUME wao!Kama afande sele amekosea basi hao masheikh wamekosea zaidi
Wakristo mtenda dhambi tunamuombea Mungu amsamehe, kwa kumsalisha sala ya toba. Afande Sele nadhan ni BANGI ilimwehusha.Kuna clip inaonuesha Sheikh anaomba Sele afe ndani ya siku saba, nimemshangaa sana......sijawahi ona wala kusikia dini inaombea mtu afe hata kama ametenda dhambi gani......
Nao ni wakusamehewa tu hao woteNina imani kuwa, Sele angemtukana yule MTUME "M", waalaaaaa jamaa wasingesubiri… eti mpaka Mwenyezi Mungu amuadhibu! Wangeshamuadhibu! Jamaa hawana utani kwa MTUME wao!
Kwa matusi kwa kweli sheria ifuate mkondo wake. Na kama kuna kifungo afungwe. Asiachwe kwa kosa la kutukana na kusambaza matusi kwenye jamii.Basi issue ya Mungu imeisha ila jeshi linamuhitaji atoe maelezo kwanini ametukana matusi ya nguoni na kutuma hiyo clip mitandaoni
AmesemaWewe bWege sana. Hivi hata hampendi kutumia akili? Kuna watu wanaabudu mizimu. Inaonekana? Unadhani Mungu wa Waislamu ni sawa na wa Wakristo? Hujui hata Dini yako. Ni maamuma tu.
Watanzania ni nyie tu mliokusanyika huko Karimjee? Wewe unapoongea utumie akili Watanzania ni wangapi na wanapatikana wapi?Amesema
“Huyo Mungu munaye munayemuomba watanzania kilasiku ni.....”
Kama utakumbuka Mungu tuliyemuomba sisi pale 'Karimjee Posta' ni tulikuwa na imani tatu zilifanya mahombi
*Islam
*Chistian
*Budha
_Kwa mantiki hii katukana Mungu wa waislam, Wakristo na Budha...ndio maombi tuliofanya pale kwa ujumla...Si pale tu kuna mahombi Mengi.
Unapoongea uwe na thinking.
Ana makosa ya
1)Kuumiza kiisia imani zingine ambazo nimeeleza juu hapo
2)makosa ya kimtatandao (kutukana)
3)Udhalilishaji wa wanawake
--Ni yule Mungu mmoja asiye na mama wala baba wala mtoto.Ambaye ni yupi?ili tupate uhakika. Alishawahi enda msikitini pia. Bahati mbaya wewe unaweka hisia na mihemko.mimi naongea kama mwenye akili,msomi. Unamjulia wapi Mungu wa Dr. Magufuli? Tupe uthibitisho wake.