Tuacheni ujinga, unafiki na mihemko. Afande Sele aachwe asisumbuliwe kabisa

Tuacheni ujinga, unafiki na mihemko. Afande Sele aachwe asisumbuliwe kabisa

Mathayo 12:31 Kwa sababu hiyo nawaambia, Kila dhambi na kila neno la kufuru watasamehewa wanadamu, ila kwa kumkufuru Roho hawatasamehewa
 
ebu mwacheni afande sele,atajua yy na Mungu wake.
 
Huwa nakuchunguliaa nabaki kusema tu moyoni na leo naweka wazi kuwa wewe hutakufa ila mpaka utakapokuja kucomfirm hapa kuwa umesilimu. Pia kuna wenzako wengine humuhumu nao huwa nikiwazoom naona kabisa hao watakufa vivyohivyo walivyo maana wamepania (wamenuia) kabisa juu ya wanalolifanya... kikubwa uzima na muda tu

(nionavyo mimi binafsi)
Watu wamekuwa wakisema hivyo miaka yote, na sijabadilika.Kwa sababu hakuna hoja yangu iliyojibiwa kimantiki.

Ukiweza kujibu hoja zangu kimantiki, mimi hata leo nasilimu. Tatizo badala ya kujibu hoja, unaleta mahubiri na utabiri.

Unapotoa utabiri, ni muhimu uweke na tarehe ili ikifika turudi hapa kuhakiki.

Usipotoa na tarehe unapiga hekaya tu.

Hoja yangu ya msingi ni kwamba Mungu hayupo na huwezi kuthibitisha kwamba yupo.

Na mpaka sasa hujathibitisha Mungu yupo.
 
Mkuu siku ya mwisho nakusikitikia sana kwa moto wa jehenam utakao kuchoma
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo na hizo habari za moto wa Jehanam ni za kweli.

La sivyo, unapiga hadithi za kitoto tu hapa.
 
Mwenyezi mungu anasema kila NAFSI ITAONJA UMAUTI.VIPI HAPO UNABISHA?
Kwa kuona wanaokufa.

Kwa kanuni za kisayansi za second law of thermodynamics na entropy.

Wewe unabisha na kusema hakuna kufa?
Screenshot_20210323-170704.jpg
 
why watu hili suala wanalichukulia personal sana? ni suala jepesi sana ambalo mimisioni why watu walilipuka kwa jazba kwa jambo ambalo halihitaji jazba.
 
Mwenyezi mungu anasema kila NAFSI ITAONJA UMAUTI.VIPI HAPO UNABISHA?View attachment 1732615
Kwanza kabisa, thibitisha mwenyezi Mungu yupo na habari za kuwapo kwake si hadithi za watu tu.

Inawezekana kabisa Mungu hayupo, watu wameona kila mtu anakufa, wakasema Mwenyezi Mungu kasema kila nafsi itaonja mauti.
 
Tulikuuliza wewe utuhibiishie kama unazo Akili ukashindwa moaka leo hujatuthibitisha akili zako
Uliniuliza nikuthibitishie nina akili nikashindwa wapi? Weka ushahidi hapa ili tujue hili jambo hujazusha tu.

Akili ni nini?

Na hata kama nikishindwa kuthibitisha nina akili, hilo linathibitishaje Mungu yupo?

Thibitisha Mungu yupo.
 
Ebu soma aya ya 41.
Kwanza kabisa, thibitisha mwenyezi Mungu yupo na habari za kuwapo kwake si hadithi za watu tu.

Inawezekana kabisa Mungu hayupo, watu wameona kila mtu anakufa, wakasema Mwenyezi Mungu kasema kila nafsi itaonja mauti.
Screenshot_20210323-175520.jpg
 
naunga mkono hoja,

mimi mwenyewe ni Mungu na wala sija maindi kivile
 
Back
Top Bottom