Tuacheni ujinga, unafiki na mihemko. Afande Sele aachwe asisumbuliwe kabisa

Shida ipo kwenye mapokeo yao waliyopata kutoka kwa Walimu wao
 
Yaah...! Ni waraka wenye HEKIMA...
Time will tell...
 
Mimi niko na afande sele bega kwa bega
Uthibitisho ungetolewa kwanza juu ya uwepo wa mungu alafu mengine ndio yafuate
 
Hata nikiunganishwa, hilo halitathibitisha Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo.
Hivyo, ambao tunaamini kuwa Mwenye Enzi Mungu alisikia kilio chetu, na kuamua kuliondoa JIWE, wewe haumtambui?
 
Kuna clip inaonuesha Sheikh anaomba Sele afe ndani ya siku saba, nimemshangaa sana......sijawahi ona wala kusikia dini inaombea mtu afe hata kama ametenda dhambi gani......

Viongozi Wetu wa dini badala ya kutuamisha Mungu yupo wao wanatutoa nje ya mstari kabsaaa!
 
Kwanini wanatumia nguvu wakati yule bwana anahitaji kusaidiwa na sio kuhukumiwa?
 
Kwanini wanatumia nguvu wakati yule bwana anahitaji kusaidiwa na sio kuhukumiwa?
Ni kukosa Busara,Hekima na Roho ya Mungu. Huwezi mhukumu mtu kama afande sele kwa yale maneno.kuwa afe. Afe kwa lipi?
 
Kama afande sele amekosea basi hao masheikh wamekosea zaidi
Nina imani kuwa, Sele angemtukana yule MTUME "M", waalaaaaa jamaa wasingesubiri… eti mpaka Mwenyezi Mungu amuadhibu! Wangeshamuadhibu! Jamaa hawana utani kwa MTUME wao!
 
Yote kwa yote watwana watasema ganja inam-drive
 
Anayelia lia kwamba Seleman amemtukana Mungu basi ni fala sana. Unachukuaje maamuzi ya kumtukana na kumchukia sele kisa amesema vibaya kuhusu Mungu ilihali unajua kila MTU atauchukua mzigo wake mwenyewe? Afadhali Kwa wale wanaomsikitikia na si hawa wapumbavu wanaomchukia na kumtukana ilihali Mungu mwenyewe anamsikia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi issue ya Mungu imeisha ila jeshi linamuhitaji atoe maelezo kwanini ametukana matusi ya nguoni na kutuma hiyo clip mitandaoni
 
Basi issue ya Mungu imeisha ila jeshi linamuhitaji atoe maelezo kwanini ametukana matusi ya nguoni na kutuma hiyo clip mitandaoni
Kwa matusi kwa kweli sheria ifuate mkondo wake. Na kama kuna kifungo afungwe. Asiachwe kwa kosa la kutukana na kusambaza matusi kwenye jamii.
 
Wewe bWege sana. Hivi hata hampendi kutumia akili? Kuna watu wanaabudu mizimu. Inaonekana? Unadhani Mungu wa Waislamu ni sawa na wa Wakristo? Hujui hata Dini yako. Ni maamuma tu.
Amesema
“Huyo Mungu munaye munayemuomba watanzania kilasiku ni.....”

Kama utakumbuka Mungu tuliyemuomba sisi pale 'Karimjee Posta' ni tulikuwa na imani tatu zilifanya mahombi
*Islam
*Chistian
*Budha

_Kwa mantiki hii katukana Mungu wa waislam, Wakristo na Budha...ndio maombi tuliofanya pale kwa ujumla...Si pale tu kuna mahombi Mengi.

Unapoongea uwe na thinking.

Ana makosa ya
1)Kuumiza kiisia imani zingine ambazo nimeeleza juu hapo
2)makosa ya kimtatandao (kutukana)
3)Udhalilishaji wa wanawake
 
Watanzania ni nyie tu mliokusanyika huko Karimjee? Wewe unapoongea utumie akili Watanzania ni wangapi na wanapatikana wapi?

Unatakiwa uwe na akili kuelewa. Watanzania ni wengi Tanzania ina watu zaidi ya milion 50 kule mwanza wana mungu wao wanamwabudu mwanamke.

Na wengine wengi wana miungu yao ya jadi,mizimu ,majini n.k haijawaondolea utanzania. Wewe uliambiwa watanzania wana Dini tatu tu? We una akili kweli? Kuna dini zaidi ya 200 nchini
 
Ambaye ni yupi?ili tupate uhakika. Alishawahi enda msikitini pia. Bahati mbaya wewe unaweka hisia na mihemko.mimi naongea kama mwenye akili,msomi. Unamjulia wapi Mungu wa Dr. Magufuli? Tupe uthibitisho wake.
--Ni yule Mungu mmoja asiye na mama wala baba wala mtoto.

--Ni yule Mungu mmoja ambaye hakuzaa wala hakuzaliwa.
--Wala hana mshirika.

Ukumbuke kuwa wote kwa pamoja,, wakristo na waislam wote wanaamini Mungu ambaye haonekani

Sasa wewe unayeabudu Jua na Mtume wako ni bangi wala sikulaumu..

Endelea kuabudu unachokiamini,,
Ila wacha kutetea upuuzi.


Hivi halafu wewe una usomi gani bwege tu wewe?

Kupata vyeti kwa kushikishwa ukuta na lecturers ndy unajiita msomi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…