Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

Nakazia
 
Duh!
Yaani unakiri kabisa kuwa alikuwa Fataki, akinyandua vibinti vidogo kama kawa, halafu tena unasema hakuwa na athari yoyote kwa taifa.. Contradiction!
 
Nini shida, sio kwa kupanick huku.
 
Hili nalo mkaliangalie!
 
Who are you to judge the life i live?
i know i'm not perfect and i don't live to be,but before you start pointing fingers to others,make sure your hands are clean,

Bob Marley.
 
Mi siwezi kumjaji vyovyote na maisha yake, ila kwangu alikuwa intertainer flan amazing!

Halafu kambebez kalivyoitwa kutoa neno wakati wa kaga sasa 😆😂😂😂!
 
Mimi na ww tumemjua lemutuz mitandaoni tu sidhani kama tunamafahamu vizur, nenda kwenye account ya edo kumwembe instagram kasome kamuelezea kidogo.

Kasema kuna lemutuz watatu ila mimi na ww tunamjua lemutuz mmoja huyu wa instgram
 
Aibu yake mtoa mada. Shida ya wengi humu hujifanya wanawajua watu sana. Kumbe wanaona mitandaoni. Ambako huko ni fake life, ikitokea kitu anamuongelea mtu kwa kitu asichokijua.
Le mbebez aliishi maisha yake, kayamaliza. Kila mtu asubirie safari yake.
 
Mkuu unq guts kwa kweli.
Loh
 
Halafu kumbe humujui ungejua alikuwa hatumii pombe usingeandika hivyo
 
Hahahahahah
Young Killer aliwahi kuimba bongo ukifanikiwa unachukiwa waziwazi
Kama uliwahi kusoma huu Uzi halafu bado unamdharau Lemutuz basi inatakiwa uwe umehaso kuliko yeye na utupe evidence...

[/b]
 
Mtoa mada nilikuona mtu mwenye maana tokea niwepo jamiiforum ila kuanzia leo wewe mpika chai tu kwenye boti
 
kuna mtu humu alishawahi sema shati la le mutuz unaweza kuligeuza turubai la fuso, sasa imagine alikua anatukanwa hivi kwanini asjtumie muda wake kupoteza stress? R.I.P Le Kichwa Kopoz.
 
Maisha ni kuchagua masee., mi nahis jamaa naye alichagua kuishi maisha aliyoyaishi. Kuiacha USA na kuja kuishi maisha aliyoishi si mchezo masee. Hata wew kuna maisha uliyoyachagua na kwa wengine yawezakuwa hayawapendezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…