Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

ya kwake hatuyajui sababu hajayaweka wazi, ukiamua kufanya maisha yako ni sehemu ya jamii tuna haki ya

kuyazungumzia-wacha isemwe wazi kwamba huyo zumbukuku hakuwa mfano sahihi ili vijana waliotamani aina ile ya

maisha wajue hakuwa role model mzuri
Mara ngapi alimfuata Le mutuz na kumshauri juu ya maisha? Na je mnadhani Kila mtu anamfahamu Le mutuz nje na watu wa mtandaoni?
 
Mara ngapi alimfuata Le mutuz na kumshauri juu ya maisha? Na je mnadhani Kila mtu anamfahamu Le mutuz nje na watu wa mtandaoni?
Tuache unafki wakati mwingine wewe huwezi kumruhusu mtoto wako aishi vile, haijarishi unaishi Maisha gani au una wadhifa gani, JK mwenyewe alimpiga PIN Miraji asiwe na maisha ya kikuda au unadhani JK alikua bwege ?
Alikuwa na utaalamu mkubwa wa meli Mkuu..that is over
Utaalamu wa Meli upi babu engineer wa Meli au Captain au Nani ?
 
Tuache unafki wakati mwingine wewe huwezi kumruhusu mtoto wako aishi vile, haijarishi unaishi Maisha gani au una wadhifa gani, JK mwenyewe alimpiga PIN Miraji asiwe na maisha ya kikuda au unadhani JK alikua bwege ?
Utaalamu wa Meli upi babu engineer wa Meli au Captain au Nani ?
Duh!
Period au nukta.
 
Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.


Mngemhukumu alipokuwa hai, sasa hivi hukumu zetu hazisaidii kitu, tumwache yeye na Muunba wake, amuweke popote anapostahiki.

Tufateni yetu tukiwa hai, tujitahidi kufanya yetu kwa wema na uadilifu.

Tuamrishane mema na tukatazane mabaya bila kuzisahau nafsi zetu.
Amin
 
So unampangia aishi vipi?kama wewe ama?

We live once..ukipata nafasi ya ku-enjoy aisee kula bata usivunge maisha ni mafupi.

Ukianza kujali wanadam wajaalana watasema nini hutoboi,hata utende mema wataku nan'ga tu...Yesu tu akauachwa iweje wewe....

Maisha yangu sipangwingwi.

Mind your own business, huyo lemetuz hata akujui acha porojo.
Big Yes
 
Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.

Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William Malecela (Le mutuz) alijulikana na kufahamika zaidi kama mtu wa ovyo kwa sifa hizi (sifa ambazo alikuwa akijivunia nazo hadharani mitandaoni na mitaani);

1. Mpenda sifa popote.
2. Mpenda pombe.
3. Mpenda umalaya.
4. Mpenda maisha ya kujirusha na kuponda raha.
5. Mpenda kujipendekeza kwa watu maarufu (chawa)

Le Mutuz japokuwa alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 50, akijaliwa kuwa na watoto, akipambana kwa namna mbalimbali kutafuta kipato, huku akitokea kwenye familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz zilikuwa zenye kutia aibu na kinyaa, akiishi kama kijana aliyepevuka juzi, aliyekosa malezi yoyote ya kijamii na kidini.

Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu) lakini ni vyema kusema ukweli na kuweka angalizo muhimu kwa vijana ambao ndio wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.

UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.
Ukweli mchungu huu
 
Back
Top Bottom