zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Sasa jamàa hapo juu anasema eti alikua Baharia wabongo kwa kuzusha tu hawajambo,Ninachokumbuka.....Le akuwa Baharia hayo mengine ni mambo ya Mutuz'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa jamàa hapo juu anasema eti alikua Baharia wabongo kwa kuzusha tu hawajambo,Ninachokumbuka.....Le akuwa Baharia hayo mengine ni mambo ya Mutuz'
Mara ngapi alimfuata Le mutuz na kumshauri juu ya maisha? Na je mnadhani Kila mtu anamfahamu Le mutuz nje na watu wa mtandaoni?ya kwake hatuyajui sababu hajayaweka wazi, ukiamua kufanya maisha yako ni sehemu ya jamii tuna haki ya
kuyazungumzia-wacha isemwe wazi kwamba huyo zumbukuku hakuwa mfano sahihi ili vijana waliotamani aina ile ya
maisha wajue hakuwa role model mzuri
Nipe jina la kitabu nikakicheck pale bookshop nikisome na Mimi au alikua anakiuza door to door mkononi ?Basi humfahamu kabisa ni bora usimuongelee kabisa, mtu mpaka ana kitabu na ameeleza historia ya maisha yake humo
Alikuwa na utaalamu mkubwa wa meli Mkuu..that is overSasa jamàa hapo juu anasema eti alikua Baharia wabongo kwa kuzusha tu hawajambo,
Tuache unafki wakati mwingine wewe huwezi kumruhusu mtoto wako aishi vile, haijarishi unaishi Maisha gani au una wadhifa gani, JK mwenyewe alimpiga PIN Miraji asiwe na maisha ya kikuda au unadhani JK alikua bwege ?Mara ngapi alimfuata Le mutuz na kumshauri juu ya maisha? Na je mnadhani Kila mtu anamfahamu Le mutuz nje na watu wa mtandaoni?
Utaalamu wa Meli upi babu engineer wa Meli au Captain au Nani ?Alikuwa na utaalamu mkubwa wa meli Mkuu..that is over
Duh!Tuache unafki wakati mwingine wewe huwezi kumruhusu mtoto wako aishi vile, haijarishi unaishi Maisha gani au una wadhifa gani, JK mwenyewe alimpiga PIN Miraji asiwe na maisha ya kikuda au unadhani JK alikua bwege ?
Utaalamu wa Meli upi babu engineer wa Meli au Captain au Nani ?
Tujifunze kuwa na hekima jaman siyo vizur hvyo mkuu
Nimeona msalaba wake ule Mwaka aliozaliwa hauonekani vizuri..lakini ni MzeeKwan yule alikua kijana?
Mzee umenitoa machoziH
Hata wazee tulipita ujana na vijana wa leo watazeeka na kufa
'Vifo vya mchongo', nimetumia jicho la tatu kujiongeza. Mzee inaonekana hii ishu anaijua A to Z siyo? Natumai atachukua hatua za kuirekebisha.Ndio,Mzee alizaa watoto wengi Ila wanapukutika Kwa vifo vya mchongo
Wale wa MarekaniNamba 2, hakuwa na Watoto
AminInna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.
Mngemhukumu alipokuwa hai, sasa hivi hukumu zetu hazisaidii kitu, tumwache yeye na Muunba wake, amuweke popote anapostahiki.
Tufateni yetu tukiwa hai, tujitahidi kufanya yetu kwa wema na uadilifu.
Tuamrishane mema na tukatazane mabaya bila kuzisahau nafsi zetu.
Big YesSo unampangia aishi vipi?kama wewe ama?
We live once..ukipata nafasi ya ku-enjoy aisee kula bata usivunge maisha ni mafupi.
Ukianza kujali wanadam wajaalana watasema nini hutoboi,hata utende mema wataku nan'ga tu...Yesu tu akauachwa iweje wewe....
Maisha yangu sipangwingwi.
Mind your own business, huyo lemetuz hata akujui acha porojo.
Most of Bongolese are stupid.Mlo wako wa tabu unashindana kumshauri aliyekuzidi maarifa na maendeleo..
"Shame"
Ni ujinga mnoSiku hizi wanakufa vijana wadogo tena wacha Mungu na watoto pia...kutoboa 50 ni ngumu mno....
Afu mpuuzi mmoja anakupangia uishi vipi.
Ukweli mchungu huuKwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.
Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William Malecela (Le mutuz) alijulikana na kufahamika zaidi kama mtu wa ovyo kwa sifa hizi (sifa ambazo alikuwa akijivunia nazo hadharani mitandaoni na mitaani);
1. Mpenda sifa popote.
2. Mpenda pombe.
3. Mpenda umalaya.
4. Mpenda maisha ya kujirusha na kuponda raha.
5. Mpenda kujipendekeza kwa watu maarufu (chawa)
Le Mutuz japokuwa alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 50, akijaliwa kuwa na watoto, akipambana kwa namna mbalimbali kutafuta kipato, huku akitokea kwenye familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz zilikuwa zenye kutia aibu na kinyaa, akiishi kama kijana aliyepevuka juzi, aliyekosa malezi yoyote ya kijamii na kidini.
Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu) lakini ni vyema kusema ukweli na kuweka angalizo muhimu kwa vijana ambao ndio wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.
UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.
Kwan yule alikua kijana?
Kuna mahali nimesoma kuwa alizaliwa 1961, ila full utoto!Lemutuz alikuwa mzee hakuwa kijana