Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

Aibu yake mtoa mada. Shida ya wengi humu hujifanya wanawajua watu sana. Kumbe wanaona mitandaoni. Ambako huko ni fake life, ikitokea kitu anamuongelea mtu kwa kitu asichokijua.
Le mbebez aliishi maisha yake, kayamaliza. Kila mtu asubirie safari yake.
Mkuu Lembebez siyo yeye, yeye ni Lemutuz😆😆.

Kwani haukumuona Lembebez jana akilia alipopewa nafasi ya kutoa neno wakati wa kuaga?
 
Kuna vitu vingi hapo, ila nigusie viwili tu:

1. Reputation (wasifu/sifa zako) - jinsi jamii inavyokuona na kukuchukulia.
Je ni sifa njema au mbaya? - hilo linategemea kioo na mizani ya JAMII.
Na hii mizani ina nguvu sana, ni kama cheti (certificate) cha kumaliza.
Inaweza kuwa sahihi au la, haki au la - kikubwa ndio walivyoona na kuhukumu.

2. Character (tabia) - jinsi wewe ulivyo.
Yaani tabia yako kwa lugha yako mwenyewe. Wewe kwa ndani bila jamii.

Ni wazi kuwa hivyo viwili vinaweza kukinzana; yaani mtu akawa na tabia tofauti na wasifu tofauti - hasa ukizingatia uhalisia wa msemo "Moyo wa mtu ni kichaka".

Hivyo basi kwa mtu yeyote MAKINI, (na kadiri inavyowezekana) ni kuhakikisha Reputation na Character vinaoana. Yaani iwe Reputation X Character = You.

Visikinzane, ili usiwape watu/jamii kukuhukumu "waonavyo wao" kwenye Mahakama za Kangaroo. Sio kwamba uishi kinafiki au kuwapendeza wengine, hapana!.....

Ishi kwa kufuata 'High Moral Standards'.
High moral standards are ALL spiritual by nature and context - hence GOD comes to the equation (whether we like it or not).
Further , they are UNCHANGING REALITIES!


La! hutaki au ukapuuza; na vikikinzana Reputation vs Character i.e. Reputation ÷ Character; basi kuna uwezakano mkubwa JAMII ikaku define na kukuhukumu - ionavyo yenyewe i.e. ex-parte. Na hutakuwepo kujitetea.

Ndio kilichoko hapa mbele yetu muda huu.
 
Asante Kwa madini ni watu wachache hujipinda kuandika Kwa faida ya wengi....
 
Tatizo vijana siku Hizi mnapenda kuwa influenced badala ya kufanya kile unachohisi ulifanya ni sawa... Unataka fulani awe role model wako huu ni ujinga... Kuwa wewe Kama wewe le mutuz aliishi Maisha yake hajataka wewe uvutiwe naye... Leo unasema alikuwa mfano Mbaya. Kuwa chawa, kunywa pombe ni sif mbya... Vijana wangapi ambao wanafanya hivyoo...
 
Kwa kuongezea hapo:-

Kwa sababu ya umuhimu na uzito wa perceptions na image, ndio maana makampuni ya biashara au taasisi au watu maarufu hugharimika sana kujenga, kulinda na kutetea REPUTATION zao (true or false; right or wrong).

Kwa sababu poor/bad reputation kwao = hasara au kifo.
Yaani Public Opinion matters.

Ndio maana hao hutumia gharama yoyote kujitetea na kujisafisha, ili wabaki HAI na SAFI mbele ya jamii.

Lesson: leave nothing to chance. Moral Relativity is a false hope and unreal and fantasy stint - in the end.

Ukiishi leo jua kuna Kesho ambayo hutokuwepo. Matendo yako ya leo mema au/na mabaya kesho YOTE yataanikwa na kuhukumiwa - brutally!

Tutumie vizuri muda na maisha yetu kujenga na kuacha sifa njema - good and positive reputation behind. That will be our "true legacy", our own testimony with our own signature and mark.
 
Kinachonishangaza kwenye huu uzi,wafuasi wa CHADEMA akina Tindo na timu upinde ndio wanamsagia kunguni huyo mnamwita nani sijui!!??
 
#21
 

So what bro?

I won't be there!

I will be dead!

Never to be bothered again!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…