Huo ndio ukweli wenyeweMzee umenitoa machozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio ukweli wenyeweMzee umenitoa machozi
Umenijibu kistaarabu hadi nimesoma mara 2Sikosei pakuweka R na L. Mengine haya hukosewa na simu, bado simu yangu inajifundisha Kiswahili.
I'll be extra careful.
Mkuu Lembebez siyo yeye, yeye ni Lemutuz😆😆.Aibu yake mtoa mada. Shida ya wengi humu hujifanya wanawajua watu sana. Kumbe wanaona mitandaoni. Ambako huko ni fake life, ikitokea kitu anamuongelea mtu kwa kitu asichokijua.
Le mbebez aliishi maisha yake, kayamaliza. Kila mtu asubirie safari yake.
🤣🤣🤣🤣 najua ila alikuwa akipenda kuita wadada hivyo. You know niko na Le mbebez hapa tunakula maisha. Dah udongo unakula watu sana.Mkuu Lembebez siyo yeye, yeye ni Lemutuz😆😆.
Kwani haukumuona Lembebez jana akilia alipopewa nafasi ya kutoa neno wakati wa kuaga?
Ok. Point noted. Thank you very much my sister in lawTrump ni family man na yupo vizuri na watoto wake.Le mutuz hakujali watoto wake.
Asante Kwa madini ni watu wachache hujipinda kuandika Kwa faida ya wengi....Kuna vitu vingi hapo, ila nigusie viwili tu:
1. Reputation (wasifu/sifa zako) - jinsi jamii inavyokuona na kukuchukulia.
Je ni sifa njema au mbaya? - hilo linategemea kioo na mizani ya JAMII.
Na hii mizani ina nguvu sana, ni kama cheti (certificate) cha kumaliza.
Inaweza kuwa sahihi au la, haki au la - kikubwa ndio walivyoona na kuhukumu.
2. Character (tabia) - jinsi wewe ulivyo.
Yaani tabia yako kwa lugha yako mwenyewe. Wewe kwa ndani bila jamii.
Ni wazi kuwa hivyo viwili vinaweza kukinzana; yaani mtu akawa na tabia tofauti na wasifu tofauti - hasa ukizingatia uhalisia wa msemo "Moyo wa mtu ni kichaka".
Hivyo basi kwa mtu yeyote MAKINI, (na kadiri inavyowezekana) ni kuhakikisha Reputation na Character vinaoana. Yaani iwe Reputation X Character = You.
Visikinzane, ili usiwape watu/jamii kukuhukumu "waonavyo wao" kwenye Mahakama za Kangaroo. Sio kwamba uishi kinafiki au kuwapendeza wengine, hapana!.....
Ishi kwa kufuata 'High Moral Standards'.
High moral standards are ALL spiritual by nature and context - hence GOD comes to the equation (whether we like it or not).
La! hutaki au ukapuuza; na vikikinzana Reputation vs Character i.e. Reputation ÷ Character; basi kuna uwezakano mkubwa JAMII ikaku define na kukuhukumu - ionavyo yenyewe i.e. ex-parte. Na hutakuwepo kujitetea.
Ndio kilichoko hapa mbele yetu muda huu.
Tatizo vijana siku Hizi mnapenda kuwa influenced badala ya kufanya kile unachohisi ulifanya ni sawa... Unataka fulani awe role model wako huu ni ujinga... Kuwa wewe Kama wewe le mutuz aliishi Maisha yake hajataka wewe uvutiwe naye... Leo unasema alikuwa mfano Mbaya. Kuwa chawa, kunywa pombe ni sif mbya... Vijana wangapi ambao wanafanya hivyoo...Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.
Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William Malecela (Le mutuz) alijulikana na kufahamika zaidi kama mtu wa ovyo kwa sifa hizi (sifa ambazo alikuwa akijivunia nazo hadharani mitandaoni na mitaani);
1. Mpenda sifa popote.
2. Mpenda pombe.
3. Mpenda umalaya.
4. Mpenda maisha ya kujirusha na kuponda raha.
5. Mpenda kujipendekeza kwa watu maarufu (chawa)
Le Mutuz japokuwa alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 50, akijaliwa kuwa na watoto, akipambana kwa namna mbalimbali kutafuta kipato, huku akitokea kwenye familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz zilikuwa zenye kutia aibu na kinyaa, akiishi kama kijana aliyepevuka juzi, aliyekosa malezi yoyote ya kijamii na kidini.
Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu) lakini ni vyema kusema ukweli na kuweka angalizo muhimu kwa vijana ambao ndio wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.
UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.
Ustaarabu upo pwani,na huko ndipo uislamu ulipo.Umenijibu kistaarabu hadi nimesoma mara 2
Kama ulikuwa hujui basi jua The old man alikuwa ni baharia wa majini alifanya kazi miaka 5 Kabla ya kwenda New York.Baharia wa Nchi kavi km Professor Muhogo Mchungu au baharia yupi ? Sikuwahi kumsikia akijigamba kua yeye ni Seaman, hata siku moja
#21Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.
Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William Malecela (Le mutuz) alijulikana na kufahamika zaidi kama mtu wa ovyo kwa sifa hizi (sifa ambazo alikuwa akijivunia nazo hadharani mitandaoni na mitaani);
1. Mpenda sifa popote.
2. Mpenda pombe.
3. Mpenda umalaya.
4. Mpenda maisha ya kujirusha na kuponda raha.
5. Mpenda kujipendekeza kwa watu maarufu (chawa)
Le Mutuz japokuwa alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 50, akijaliwa kuwa na watoto, akipambana kwa namna mbalimbali kutafuta kipato, huku akitokea kwenye familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz zilikuwa zenye kutia aibu na kinyaa, akiishi kama kijana aliyepevuka juzi, aliyekosa malezi yoyote ya kijamii na kidini.
Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu) lakini ni vyema kusema ukweli na kuweka angalizo muhimu kwa vijana ambao ndio wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.
UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.
Asante kushukuru, pamoja!Asante Kwa madini ni watu wachache hujipinda kuandika Kwa faida ya wengi....
Kuna vitu vingi hapo, ila nigusie viwili tu:
1. Reputation (wasifu/sifa zako) - jinsi jamii inavyokuona na kukuchukulia.
Je ni sifa njema au mbaya? - hilo linategemea kioo na mizani ya JAMII.
Na hii mizani ina nguvu sana, ni kama cheti (certificate) cha kumaliza.
Inaweza kuwa sahihi au la, haki au la - kikubwa ndio walivyoona na kuhukumu.
2. Character (tabia) - jinsi wewe ulivyo.
Yaani tabia yako kwa lugha yako mwenyewe. Wewe kwa ndani bila jamii.
Ni wazi kuwa hivyo viwili vinaweza kukinzana; yaani mtu akawa na tabia tofauti na wasifu tofauti - hasa ukizingatia uhalisia wa msemo "Moyo wa mtu ni kichaka".
Hivyo basi kwa mtu yeyote MAKINI, (na kadiri inavyowezekana) ni kuhakikisha Reputation na Character vinaoana. Yaani iwe Reputation X Character = You.
Visikinzane, ili usiwape watu/jamii kukuhukumu "waonavyo wao" kwenye Mahakama za Kangaroo. Sio kwamba uishi kinafiki au kuwapendeza wengine, hapana!.....
Ishi kwa kufuata 'High Moral Standards'.
High moral standards are ALL spiritual by nature and context - hence GOD comes to the equation (whether we like it or not).
Further , they are UNCHANGING REALITIES!
La! hutaki au ukapuuza; na vikikinzana Reputation vs Character i.e. Reputation ÷ Character; basi kuna uwezakano mkubwa JAMII ikaku define na kukuhukumu - ionavyo yenyewe i.e. ex-parte. Na hutakuwepo kujitetea.
Ndio kilichoko hapa mbele yetu muda huu.
Vifo vya mchongo tena mbona unazidisha utataNdio,Mzee alizaa watoto wengi Ila wanapukutika Kwa vifo vya mchongo