Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

Umekosea Sana.Kumbuka huyo unayemsema hivyo ana ndugu na familia ambao wako kwenye majonzi ya kuondokewa na mpendwa wao.Katika maisha ya hapa duniani sisi sote Ni wadhambi hakuna msafi muhimu Ni kuombeana tu,Husihukumu hujui kesho yako katika maisha ya kawaida na pia ya kiroho.
 
Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.

wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.

UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.
Wewe ya kwako tunayakua?Sema madhaifu Yako kwanza kabla hujasema ya meingine
 
Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.
Sijapendezewa kabisa na uzi wa kumdhalilisha Le Mutuz.
1. Lini ulimsaidia chakula na mavazi?
2. Lini ulisomesha watoto wake?
3. Lini ulimtawaza?

Naamini ktk watu wa ovyo wewe unaongoza.
Mods upuuzi huu mnaubariki kweli?
 
Unaposema fulani alikuwa mfano mbaya kwa jamii kwa kutumia hivyo vigezo vyako hapo, unamaanisha wengine wote tuliopo hapa ndio mfano mzuri?

Tatizo unafiki umechukua sehemu kubwa sana ya maisha yetu, wengi mnaomponda Lemutuz hapa mnajiona nyie ndio malaika, mfano mzuri kwa jamii zenu, kumbe upo uchafu wenu mwingi tu mnaoufanya sirini.

Kosa pekee la Lemutuz ni kuamua kuwa muwazi kwa maisha yake, kitu ambacho nyie wengine kimewashinda, kwanza unapata wapi "mandate" ya kuhukumu "life style" ya mwingine, mnataka wote tufanane? tumekuwa maembe?!.

Yule hajakulia huku, maisha ya ughaibuni ndio kwa kiasi kikubwa yalimfanya awe vile, factors kama hii ulitakiwa uiweke kwenye "consideration" kama una upeo, bahati mbaya hamna, tokeni nje ya hilo box mlilojifungia.

"Ukweli usemwe" ... Nonsense!.
 
Sawa kabisa, ila na wewe historia itaanzia hapa kwamba, ni mtu mtukanaji na mtu usiyesamehe kabisa,
Wala usijali, mke wangu ana password ya hii I'd, siku nikifa nimemwambia kabisa atoe taarifa kwa wanajf, mtukane mpaka mchoke. Tena nyie wafuasi wa dhalimu ndio mkae hata miaka mitano hapa mkilipiza kisasi.
 
Ni sawa tu kwao kwa sababu hata wewe ni mtu wa kisasi, jiulize kama huna kisasi iweje mpaka leo unaongeleaga tu mambo ya mtu ambaye hayupo duniani kitambo tu sasa tena kwa matusi ya ajabu tu
 
Back
Top Bottom