Utetezi mwingine hauna maana kabisa, tuchukulie mtu kaamua kuwa shoga, ukichukia itakuwa kuingilia life style yake?Mnapenda sana kuchaguliana aina ya maisha ya kuishi. Mtu kuishi kinyume na life style uipendayo haimaanishi ni mshenzi wa tabia..
Hapa umejijibu kwaheri.Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu)
Wewe ya kwako tunayakua?Sema madhaifu Yako kwanza kabla hujasema ya meingineKwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.
wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.
UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.
Hekima gani wakati jamaa alishindwa kuishi kwa hekima?Tujifunze kuwa na hekima jaman siyo vizur hvyo mkuu
Sijapendezewa kabisa na uzi wa kumdhalilisha Le Mutuz.Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.
Sawa kabisa, ila na wewe historia itaanzia hapa kwamba, ni mtu mtukanaji na mtu usiyesamehe kabisa,Huu ndio ukweli halisi. Leo mutuz alikuwa ni mshenzi mwenye umaarufu. Huyu ni chawa mkongwe, na kwa muda mwingi aliishi kwa kujikomba na kujifanya mjuaji. Alikuwa ni mfitini sana.
Kuna mwingine alianzisha thread na kuandika mambo ya hovyo kabisa utadhani alikuwa kwenye nafsi yake. Unaona kama hiyo tuhuma ya ulevi ni uongo. Alikuwa hanywi!
Ushoga sio life styleUtetezi mwingine hauna maana kabisa, tuchukulie mtu kaamua kuwa shoga, ukichukia itakuwa kuingilia life style yake?
Wala usijali, mke wangu ana password ya hii I'd, siku nikifa nimemwambia kabisa atoe taarifa kwa wanajf, mtukane mpaka mchoke. Tena nyie wafuasi wa dhalimu ndio mkae hata miaka mitano hapa mkilipiza kisasi.Sawa kabisa, ila na wewe historia itaanzia hapa kwamba, ni mtu mtukanaji na mtu usiyesamehe kabisa,
Ni nini boss, ni taaluma au wito?Ushoga sio life style
Kwani kukubaliana na uzee ndo kitu gani?Alikuwa hakubaliani na uzee. Yaani kama kuna kitu kilikuwa kinamfedhehesha kwenye maisha yake, basi ni umri mkubwa aliokuwa nao.
Ni sawa tu kwao kwa sababu hata wewe ni mtu wa kisasi, jiulize kama huna kisasi iweje mpaka leo unaongeleaga tu mambo ya mtu ambaye hayupo duniani kitambo tu sasa tena kwa matusi ya ajabu tuWala usijali, mke wangu ana password ya hii I'd, siku nikifa nimemwambia kabisa atoe taarifa kwa wanajf, mtukane mpaka mchoke. Tena nyie wafuasi wa dhalimu ndio mkae hata miaka mitano hapa mkilipiza kisasi.
Tena wa miaka 17Kwan yule alikua kijana?
Kila mtu aliyeko kwenye mtandao ni lazima awe na maisha ya kuigwa na watu wote? Wewe ni mzee wa miaka mingapi?Hekima gani wakati jamaa alishindwa kuishi kwa hekima?
Ni sahihi jamaa hakuwa mtu sahihi wa kuigwa na jamii,especially kizazi hiki cha kuzoa zoa hovyo mambo wasiyoyajua.