Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Ni kweli TEtty umezeeka akili huna ubavu wa kupambana na mimi, elimu yako ya kuungaunga unakalia kuokota maneno unayaleta Jf jiangalie sana,umesema hupendi kujibiwa na mimi si ukae kimya,wee mbona unaongea utumbo wa bata hapa hilo hulioni, kama una misimamo yako ya chama au una ugomvi na mtu tafadhali usiniletee hapa,na hizo bange unazovuta mwaka huu zitakucost maana dalili zinajionyesha kabisa hauko sawa kichwani kazi kutaja majina ya watu wasiohusiana na hoja unayoitoa kwa nini nisikuite crazy,tena hapo nimekuheshimu sana! Usirudi tena hapa na vibao vyako closed unakalia kuvibrate kwa kuguswa tu je ukitukanwa sawasawa si ndio utakufa?
Nimezeeka sijazeeka mradi sili wala silali kwako basi aikuhusu.Ila nakuelimisha tu kwamba kama MTANZANIA NINA HAKI YA KUPIGA KURABYA NDIYO AU HAPANA.Kwa sasa nimechagua kupiga KURA YA HAPANA KWA KATIBA HII YA MAFISADI.
PILI HUNA HAKI NIRUDIA TENA HUNA HAKI YA KUNITUSI,KUNIDHALILISHA ETI SABABU TU NIMEAMUA KUPIGA KURA YA HAPANA.
Tatu Prof wa Kichina qnajua wazi na with facts kwamba WATANZANIA TUNAHAKINYABKUPIGA KURA YA NDIYO AU HAPANA KWANI NI HAKI YETU KISHRIA NA KIKATIBA.
Uamuzi wangu hata nikiamka usingizini ni HAPANA KWA KATIBA YA MAFISADI.PLEASE FANYA MAMBO YAKO SABABU SITAKUJIBU.SIPENDI WANAWAKE/ MABINTI WAPUMBAVU wasio jua jema na baya.Ni uamuzi wangu,mradi sivunji katiba ya nchi wqla sheria.Jua ni HAKI yangu ya msingi,nipo huru kipiga KURA YA HAPANA.SINA MUDA TENA WA KUBISHANA NA MTOTO WA FISADI..MOO BUSY KUUZQ MADAWA YA KULEVYA.wapumbavu kweli nyie.[/QUOTE]
SASA WEWE MBURURA HUJUI KUWA SUALA LA KURA NI SIRI YA MTU?? SASA UNAYEMTANGAZIA HUMU NDANI KWAMBA UTAPIGA KURA YA HAPANA NANI? UADHANI WATU WASHAMBA WA KUPIGA KURA AU? WE PIGA LAKINI WAKO WATAKAOPIGA KURA YA NDIYO, NA KUPIGA KWAKO HIYO KURA YA HAPANA HAKUTOINYIMA CHANCE YA KATIBA HII KUPITA HILO ULIJUE KABISAAA, MUNGU ATAIBARIKI NA ITAPITA POLE YENU NYIE MNAOPOTEZA MUDA WENU KUTANGAZA TANGAZA OOOH MI NTAPIGA HAPANA, TENA UKIWEZA NENDA KWENYE VYOMBO VYA HABARI UKAWEKE HILO TANGAZO LAKO KUWA WEWE UTAPIGA HAPANA, MAANA UNAONEKANA MSHAMBA WA HAYA MAMBO NA UNAONEKANA NI MTOTO NDO KWANZA UMETIMIZA UMRI WA KUPIGA KURA HIVI MAJUZI TUU, KWAHIYO WALA USIWABABAISHE WATANZANIA WAPENDA NCHI YAO, KAMA UMEICHOKA TANZANIA YETU BASI HUZUIWI KWENDA KUOMBA URAIA NCHI NYINGINE KAMA SOMALIA, BAGHDAD, LIBYA, RAQAAL, N.K STOP bombarding!!