Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Inamana wewe ndo hukutukana huko mwanzo? Tuc liko wapi hapo au unajiskia tu kusema hivyo?Ni matumaini yangu unafuraha sana baada ya kutukana.Hongera sana.Usiku mwema.Haya ndiyo UVCCM mmefundishwa.Kujibu hoja kwa kutukana.
Mzee Tupatupa wafunde vijana wako mzee wangu hii haopendezi.