Tuacheni utani jamani, katiba inayopendekezwa imewajali wasanii!

Ni matumaini yangu unafuraha sana baada ya kutukana.Hongera sana.Usiku mwema.Haya ndiyo UVCCM mmefundishwa.Kujibu hoja kwa kutukana.

Mzee Tupatupa wafunde vijana wako mzee wangu hii haopendezi.
Inamana wewe ndo hukutukana huko mwanzo? Tuc liko wapi hapo au unajiskia tu kusema hivyo?
 
Inamana wewe ndo hukutukana huko mwanzo? Tuc liko wapi hapo au unajiskia tu kusema hivyo?

Pole sana.Kumbuka Mbunge wa CCM toka Zanzibar Bi.FATUMA ,alianza kumtusi mwenzake wa CUF ,bahati njema Sitta alisikia majibu tu ya Mbunge mwingine wa CUF aliyerudisha maneno machache tu.Hivyo sishangai muda huu unashangaa wakati ulianza kunitusi na nikakujibu vyema tu ukaendelea ndipo nilipokupa somo kwamba hata mimi kebehi nazijua.

Poleni heshimuni watu wengine hata kama hawasupport hiyo Katiba ya Chenge kwani havunji sheria za nchi kwa kuikataa.

USIKU MWEMA
 
Acha dharau Chenge hana Katiba, rekebisha kauli yako twende sawa, wapi imeandikwa kuwa ni ya chenge kama hauna uthibitisho we utakuwa chiZi uaneweweseka ovyo
 
Kuna viumbe wa ajabu waliozaliwa mwezi wa tatu mwaka 2015, wamevamia jf kwa fujo, licha ya ujio wao usiokuwa na madhara yoyote kwa viumbe hai, wamekuwa wakijaza servar bure kwa porojo zao.
 
Huenda hawa ndio wajumbe wa BMK wa chama kile kilichobaki Bungeni na wajumbe wake wataendelea kuwatukana wale wajumbe waliotoka na kina Mzee Warioba. Huoni kuwa lugha yao ni ileile iliyoluwa ikitumiwa BMLK?

Vv
 
Acha dharau Chenge hana Katiba, rekebisha kauli yako twende sawa, wapi imeandikwa kuwa ni ya chenge kama hauna uthibitisho we utakuwa chiZi uaneweweseka ovyo

Sijamdharau mtu,na sina tabia ya kudharau!Ils jifunze kukubali maoni ta watu wengine.Nausemea moyo wangu si wako.Na tafadhali usinilazimishe niwe wewe.Kwangu ninaitambua kama Katiba ya Chenge au Katiba ys Mfusadi.
 
Reactions: BAK
Wadau mnakumbuka kumbuka vasco da gama alipoingia aliahidi bonge la studia la kisasa kwa wasanii,lipo wapi au ndo kawatumia na kuwatosa?
 
Huenda hawa ndio wajumbe wa BMK wa chama kile kilichobaki Bungeni na wajumbe wake wataendelea kuwatukana wale wajumbe waliotoka na kina Mzee Warioba. Huoni kuwa lugha yao ni ileile iliyoluwa ikitumiwa BMLK?

Vv

Uliyosema ni kweli kabisa ni wale wale maana LUGHA zao zinafanana.Ili ikubalike ni lazima tuwakejeli na kuwatusi wasiyoikubali.
 
Chukua Reputation Power billion nilitaka nikuwekee kwenye hiki kitufe kimenigomea. Ujue napenda sana kusoma mabandiko yako.

Sijamdharau mtu,na sina tabia ya kudharau! Ila jifunze kukubali maoni ta watu wengine.Nausemea moyo wangu si wako.Na tafadhali usinilazimishe niwe wewe.Kwangu ninaitambua kama Katiba ya Chenge au Katiba ys Mfusadi.
 
Hiyo ni katiba ya chenge,aka ya mafisadi upo sahihi kabsaaa,maanavile nyingine inaitwa ya wananchi aka ya warioba,
 
Hiyo ni katiba ya chenge,aka ya mafisadi upo sahihi kabsaaa,maanavile nyingine inaitwa ya wananchi aka ya warioba,

NDUGU YANGU USIPENDE KUPARAMIA TRENI NJIANI, CHENGE HANA KATIBA, WARIOBA HANA KATIBA BALI ALIANDIKA MAPENDEKEZO YALIYOPELEKEA KUTENGENEZWA KATIBA INAYOPENDEKEZWA, CHENGE YEYE ALIKUWA MWENYEKITI WA KAMATI YA UANDISHI TU NA SI VINGINEVYO, KAMA UNAUSHAHIDI KUWA ILE NI KATIBA YA CHENGE EBU TUONYESHE SEHEMU ILIPOANDIKWA KUWA NI YA CHENGE NA WAPI NI YA WARIOBA, KUWA MZALENDO WEWE NI MTANZANIA USIWE NA CHUKI NA NCHI YAKO KWANI KATIBA HII ITAKUWA MKOMBOZI KWAKO NA KWA VIZAZI VYAKO VYA BAADAE. Kuwa na busara
 
Hiyo ni katiba ya chenge,aka ya mafisadi upo sahihi kabsaaa,maanavile nyingine inaitwa ya wananchi aka ya warioba,

Soma kwa makini huo ujumbe ili ujue ukweli wa mambo sio unakurupuka tu kaka na unaonekana hujui lolote zaidi ya kusikiliza watu wanachokisema, badala ya kuisoma ukaielewa wewe unatumia muda mwingi kuwasikiliza mamluki. Haya soma huo ujumbe hapo chini plzzzzzz kisha mjulishe mwenzio kuhusu ukweli huo.

[video=youtube_share;_Cr82K8DfeQ]http://youtu.be/_Cr82K8DfeQ[/video]
 
Safi kijana kwa kunisaidia kumuelimisha ndugu Politrix hapo juu, naamini atakuwa kaelewa vizuri sasa.
 
Chukua Reputation Power billion nilitaka nikuwekee kwenye hiki kitufe kimenigomea. Ujue napenda sana kusoma mabandiko yako.
BAK Asante.Hata wewe posts zako huwa nzuri sana tu ila bado sijapata uwezo wa kutumia vyema JF
 
Reactions: BAK
Last edited by a moderator:
Ahsante sana Tetty :yo::yo::yo:

Karibu sana.Tupo pamoja kuelimishana kwani kuna ninachokijua vyema na wenzagu mnavyovingi mvijuavyo nisivyovijua.Kwa :grouphug: tushirikishane
 
Reactions: BAK
kuna viumbe wa ajabu waliozaliwa mwezi wa tatu mwaka 2015, wamevamia jf kwa fujo, licha ya ujio wao usiokuwa na madhara yoyote kwa viumbe hai, wamekuwa wakijaza servar bure kwa porojo zao.

wewe uliyezaliwa desemba 2009 mbona hukui! Umeona hiyo ndiyo hoja???? Acha kujishushia heshima unaonyesha wewe ni mzembe tu usiyeweza kuhimili ushindani na mawazo mapya hii ndoyo jf yenye mabadiliko usizoee tabia za kenge kuiba mayai ya kuku killa siku!
 
mzalendo hiyo ni hoja au ni nini?
Eleweka acha kuropoka kwani mtu kusema katiba pendekezwa imewajali wasanii kwani uongo, wasanii wenyewe wanaikubali wewe unapinga hata sikuelewi naona wewe utakua mwizi wa kazi za wasanii wewe au promota feki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…