Tuagane hapa, muage umpendae hapa, kuonana mwakani 2017

Tuagane hapa, muage umpendae hapa, kuonana mwakani 2017

Jf wote.
Melo,
Joanah,
Tundu lisu
Lema,
Ben saa8,
Watumishi wote walokandamizwa na kunyimwa haki na stahiki zao,
Mayalla wa maswali magumu,
Watanzania wote mnaoishi maisha magumu,
etc

Kwa wale miungu watu kaeni mkijua hakuna marefu yasiyo na ncha.
#tumehuruyauchaguzi#
2020 inakuja mtanzania amka dai tume huru ya uchaguzi
 
Kwaheri 2016 ulikua na changamoto zako

Karibu 2017 mwaka wa kutimiza vision na kuelekea kwenye mafanikio zaidi...

Tuliokoseana na kuparuana kwa namna yoyote ile tusameheane na kuangalia 2017 kwa matumaini na upendo zaidi....

Kwaheri Nyani Ngabu,wifi yangu kipenzi Honey Faith,@kui,@atoto,Heaven Sent,@sumbai,@quigley,Bavaria na yule na mwingine...
Vale kipenzi, thanks for everything. Mungu atuvushe salama
 
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] on behalf of my self, kheri ya mwakampya wote hasa walimu wa art, aaaaah faru hadija, waathirika wa tetemeko bukoba na wengineo
 
Kheri ya Mwaka Mpya kwa wale wote mliotangulia, na mtakaotangulia
 
Before the end of this year 2016 lemme take these very few mins left to send a big shout outs to all JF users who have been making my time worthwhile in this informative platform throughout the year.

A big shout out to
*mbere
*Kaveli
*BAK
*SHIMBA YA BUYENZE
*Heave sent
*Himawari
*The bold
*MSENZA MKULU
*atoto
*Richardson
*Nzi
*mentor
*Nyani ngabu
*khuty
*mwana mtoka pabaya
*Stunter
*marcopolo
*....and the rest of jf users

Also much shout outs to all the guests who spend their time browsing in JF forums.

I wish y'all a very happy new year and God bless you beyond the measures.
 
Happy new year
Ukawe Mwaka Wa mafanikio na baraka tele kwenu
 
Before the end of this year 2016 lemme take these very few mins left to send a big shout outs to all JF users who have been making my time worthwhile in this informative platform throughout the year.

A big shout out to
*mbere
*Kaveli
*BAK
*SHIMBA YA BUYENZE
*Heave sent
*Himawari
*The bold
*MSENZA MKULU
*atoto
*Richardson
*Nzi
*mentor
*Nyani ngabu
*khuty
*mwana mtoka pabaya
*Stunter
*marcopolo
*....and the rest of jf users

Also much shout outs to all the guests who spend their time browsing in JF forums.

I wish y'all a very happy new year and God bless you beyond the measures.
Shukrani mpendwa.
HAPPY NEW YEAR.
 
Back
Top Bottom