barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,880
Sikuwahi kujua kuwa Patience123 ni frola...Duuuh!!I adore you too madam.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuwahi kujua kuwa Patience123 ni frola...Duuuh!!I adore you too madam.
Black woman!On behalf of me
Niwatakie magreat thinkers wote heri ya mwaka mpya 2017
Vale kipenzi, thanks for everything. Mungu atuvushe salamaKwaheri 2016 ulikua na changamoto zako
Karibu 2017 mwaka wa kutimiza vision na kuelekea kwenye mafanikio zaidi...
Tuliokoseana na kuparuana kwa namna yoyote ile tusameheane na kuangalia 2017 kwa matumaini na upendo zaidi....
Kwaheri Nyani Ngabu,wifi yangu kipenzi Honey Faith,@kui,@atoto,Heaven Sent,@sumbai,@quigley,Bavaria na yule na mwingine...
kwakooooooooo piaMungu awabariki wote Heri ya Mwaka mpya 2017...
Dada umevuka!!!Vale kipenzi, thanks for everything. Mungu atuvushe salama
Haulali tu my dia?Happy new yearHappy new year
Ukawe Mwaka Wa mafanikio na baraka tele kwenu
Tehe tehe teheHaulali tu my dia?Happy new year
Shukrani mpendwa.Before the end of this year 2016 lemme take these very few mins left to send a big shout outs to all JF users who have been making my time worthwhile in this informative platform throughout the year.
A big shout out to
*mbere
*Kaveli
*BAK
*SHIMBA YA BUYENZE
*Heave sent
*Himawari
*The bold
*MSENZA MKULU
*atoto
*Richardson
*Nzi
*mentor
*Nyani ngabu
*khuty
*mwana mtoka pabaya
*Stunter
*marcopolo
*....and the rest of jf users
Also much shout outs to all the guests who spend their time browsing in JF forums.
I wish y'all a very happy new year and God bless you beyond the measures.