Tuambiane Dalili zinazonekana kwa mwanamke ambae ametumika sana kwenye uzinzi au uashetati

Tuambiane Dalili zinazonekana kwa mwanamke ambae ametumika sana kwenye uzinzi au uashetati

Ukiona Mwanamke hana heshima wala aibu ujue ametumika Pro!
Na ukiona anatumia mitandao ya kijamii kila siku ku wish wanaume tofauti tofauti happybirthday jua kuwa ametumika Pro max!
Mwanamke yeyote mwenye Ex kuanzia wa 3 weka mbali na watoto
 
Hi,

Kwa uzoefu wangu wakati na wajuu, nimeona na kushuhudia papuchi mbovu mbovu, ambazo ni kinyume na muonekano wa nje wa mwanamke kwenye maeneo kama mavazi,, urembo, sura, shepu,, samosa zimetumika hovyo.

Wanaume tujitafakari hawa wadudu wanashinda sana saloon ila chini moto chini kwa hovyo sana.

Sitaki kusema mengi ila papuchi zama hizi zimekuwa za hovyo hadi kero.

Kichefuchefu.

Anyway sijui labda ni peculiar kwangu and all the manigers around me.

Kichwamoto
Baki njia kuu.

Michepuko sio dili, waachie vijana wanao baleghe.
 
Kuna kamji ukitoka kahama kuelekea Rwanda kanaitwa Runzewe. Kamji haka uchumi wake unategemea papuchi. Kuna wanawake wazuri zana kwa nje, lakini eneo nyeti za ovyo Sana. Sijui nielezeje lkn Malaya Wana K mbovu.
Runzewe umenikumbusha Jonathan Meshack - Jambazi mtoto aliyetikisa kanda ya Ziwa kwa miaka 10.


View: https://youtu.be/bwf_77W_GgU?t=150
 
Inashangaza sana wakati waliopo kando ya ziwa hawaandai samaki wazuri km maeneo hayo, hapo kwenye sato mkubwa kama mtu panaitwaje? Nilipita miezi kadhaa hapo nilikunywa supu na familia mpaka leo Mr anapasifia tulizunguka kanda ya ziwa na viunga vyake, ila supu ya hapo ilikuwa ya kiwango cha peke yake, wako vizuri kiukweli
Wanawake wanaotumia neno Mr. ipo siku yenu nitakuja na uzi kuwahusu.🤗
 
Pale nilikua nikifika ushirombo nampigia yule msomali, anaandaa samaki mkubwa sana, pale pakachoka nikawa nakanyaga supu Kwa mama wa kinyarwanda, napo sipaelewi siku hizi nampigia jamaa bonge nakuta sato mkubwa kama mtu, napiga na ugali wa mtama uliochanganywa na udaga, basi ni kunywa maji taratibu huku safari inaendelea, halafu mitaa ile hadi kahama samaki ni wengi kuliko mwanza
Yule demu msomali mwenye gesti😀😀😀
 
Ukiona Mwanamke hana heshima wala aibu ujue ametumika Pro!
Na ukiona anatumia mitandao ya kijamii kila siku ku wish wanaume tofauti tofauti happybirthday jua kuwa ametumika Pro max!
Mwanamke yeyote mwenye Ex kuanzia wa 3 weka mbali na watoto
Mkuu wewe una ma x wangapi?
 
Back
Top Bottom