Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

Hahaha umenichekesha sana inaonekana ulikuwa mtundu sana
 
Wengine wetu nadhani tulizaliwa watundu tu.

So tukiangalia cha kuhadisia unatafuta kweli manake yote unayaona kawaida.

Huwa naona aibu nikiona post FB from my classmates either from Primary, Secondary, University and even beyond wakiniuliza hivi Nanlii uliacha utundu.

It seems hakuna anaenikumbuka kwa lingine isipokuwa utundu.

And if I wasn't very intelligent and loved by my teachers, ningeshafukuzwa tangu lower primary.
 
Ebu tupe kisa kimoja
 
Eeeeeeh!
 
Hahahahahaha ila na nyie dadaenu alimbwato sana kwa expense ya kula free kiepe.
 
Mie katika vitu vinavyonitia kichefuchefu ni kibamia.

Kuna mdada alikuwa na hisia kama wewe kumbe tatizo ilikuwa yeye. Alikuwa na nanii kubwa mno. Aliwahi kulalamika kwa mwanamke ambaye ni daktari kwamba wanaume wengi anaona vibamia na anachukia sana, akaambiwa kimsingi ile kitu ni one size fits all, flexible sana, ndio maana hata kichwa ya mtoto inapita bila shida. Akaambiwa isingekuwa flexible baada ya kupitisha kichwa ya mtoto kila mtu ungeona ni kibamia tu. Alipofanyiwa uchunguzi - du, wakaelewa kwa nini alichukia vibamia! Ilibidi ashonwe kubana bana.

Usikute na wewe una hilo tatizo. Mwone daktari.
 
Mkuu umemjibu kitaalamu ha ha ha ha
 
Tupia cha Primary school
 
Mkuu umemjibu kitaalamu ha ha ha ha
Technically speaking, mwanamke yeyote anaelalamikia vibamia, ana maanisha kwamba akisha zaa kwa natural means, anataka wanaume wenye vichwa vikubwa kuliko cha mtoto aliyezaa. Kidole tu kinawapagaisha, sasa hivyo wanavyoita vibamia sio zaidi ya kidole?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…