Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

Mama yangu alikuwa ngumu sana kututuruhusu kucheza nje na siku akituruhusu lazima tufanye au tushiriki kwenye janga la kutosha kusimulia mtaani. Tulikuwa tunaishi jirani na wahindi wengi kuna siku mhindi mmoja alitembelea jamaa zake pale akaegesha gari lake akaingia ndani. Nikajaribu kama kusukuma lile gari likawa linaenda, baada ya kuona gari linaenda sijui wazo lilipotoka ila tukaanza kulisukuma mpaka mtaa mwingine, njiani watoto wa kusukuma gari wakawa wanaongezeka tu, baadae gari likaja kugota sikumbuki kwenye kitu gani likawa halisogei tena, dogo mmoja akatoa wazo tutoe upepo kwenye matairi, tukazibua matairi yote...halafu unaweka sikio pale unapotoka upepo, kichapo nilichopata siku hiyo kimenisahaulisha hata mwaka wa hilo tukio.

Siku nyingine gari ya mlevi mmoja hivi iliponea chupuchupu maana kuna mtu alitukurupusha na tukaiishia kuutupa moto tuliokuwa tumeshika kwenda kuutupa chini ya gari, lengo letu ilikuwa tujue nini kitatokea baada ya kuweka ule moto chini ya gari.
Hahaha umenichekesha sana inaonekana ulikuwa mtundu sana
 
Wengine wetu nadhani tulizaliwa watundu tu.

So tukiangalia cha kuhadisia unatafuta kweli manake yote unayaona kawaida.

Huwa naona aibu nikiona post FB from my classmates either from Primary, Secondary, University and even beyond wakiniuliza hivi Nanlii uliacha utundu.

It seems hakuna anaenikumbuka kwa lingine isipokuwa utundu.

And if I wasn't very intelligent and loved by my teachers, ningeshafukuzwa tangu lower primary.
 
Ebu tupe kisa kimoja
 
Ndio wanaume zetu walivyo hao.
Afu wanaume wanaonuka midomo kwa kupenda kunong'oneza usoni kwa wenzao...balaa!!
Wanaume wa hivo hapo uliowataja huwa wanajikutaga ni malaika waishio mbinguni milele.
Hivi kwanza mwanaume anaanzaje kuishi duniani akiwa hana hata pesa ya kumpa mwanamke ampendae!!
Afu ohhhh mapenzi sio pesa....asa mapenzi wanataka yawe maua au?
Mie kwanza Mwanaume asiye na pesa wala hanisisimui wala kunisimamisha kisimi.
Eeeeeeh!
 
Enzi hizo nipo maeneo ya shule ya mchikichini kwa wazee wa mapindi nilikua na siangu binamu mmoja alikua na bahasha wake anauza viepe mtaa wa sikukuu basi ilikua kila siku namtimbia na mwanangu mmoja kua tumeagizwa viazi,,,jamaa alikua wa kuja full kujaza chips yai na kuku sometime hadi hela alikua anatoa maana alikua anajua vinaenda kwa dem wake kumbe ngoma vinaishia njiani..na simu zilikua hazipo jamaa alipataga tabu sana[emoji53] [emoji53] [emoji53]
Hahahahahaha ila na nyie dadaenu alimbwato sana kwa expense ya kula free kiepe.
 
Mie katika vitu vinavyonitia kichefuchefu ni kibamia.

Kuna mdada alikuwa na hisia kama wewe kumbe tatizo ilikuwa yeye. Alikuwa na nanii kubwa mno. Aliwahi kulalamika kwa mwanamke ambaye ni daktari kwamba wanaume wengi anaona vibamia na anachukia sana, akaambiwa kimsingi ile kitu ni one size fits all, flexible sana, ndio maana hata kichwa ya mtoto inapita bila shida. Akaambiwa isingekuwa flexible baada ya kupitisha kichwa ya mtoto kila mtu ungeona ni kibamia tu. Alipofanyiwa uchunguzi - du, wakaelewa kwa nini alichukia vibamia! Ilibidi ashonwe kubana bana.

Usikute na wewe una hilo tatizo. Mwone daktari.
 
Kuna mdada alikuwa na hisia kama wewe kumbe tatizo ilikuwa yeye. Alikuwa na nanii kubwa mno. Aliwahi kulalamika kwa mwanamke ambaye ni daktar kwamba wanaume wengi anaona vibamia na anachukia sana, akaambiwa kimsingi ile kitu ni one size fits all, flexible sana, ndio maana hata kichwa ya mtoto inapita bila shida. Akaambiwa isingekuwa flexible baada ya kupitisha kichwa ya mtoto kila mtu ungeona ni kibamia tu. Aliponyiwa uchunguzi - du, wakaelewa kwa nini alichukia vibamia! Ilibidi ashonwe kubana bana.

Usikute na wewe una hilo tatizo. Mwone daktari.
Mkuu umemjibu kitaalamu ha ha ha ha
 
Wengine wetu nadhani tulizaliwa watundu tu.

So tukiangalia cha kuhadisia unatafuta kweli manake yote unayaona kawaida.

Huwa naona aibu nikiona post FB from my classmates either from Primary, Secondary, University and even beyond wakiniuliza hivi Nanlii uliacha utundu.

It seems hakuna anaenikumbuka kwa lingine isipokuwa utundu.

And if I wasn't very intelligent and loved by my teachers, ningeshafukuzwa tangu lower primary.
Tupia cha Primary school
 
Mkuu umemjibu kitaalamu ha ha ha ha
Technically speaking, mwanamke yeyote anaelalamikia vibamia, ana maanisha kwamba akisha zaa kwa natural means, anataka wanaume wenye vichwa vikubwa kuliko cha mtoto aliyezaa. Kidole tu kinawapagaisha, sasa hivyo wanavyoita vibamia sio zaidi ya kidole?
 
Back
Top Bottom