witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
[emoji23] [emoji23]Silaha zao za vibamia wanataka waje kuzitest kwangu.
Watoke zao hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23]Silaha zao za vibamia wanataka waje kuzitest kwangu.
Watoke zao hapa
Anh napajua sa ivi kumebadilika sanaIlikuwa hazina pale..... ila zamani sana asee, karibia na lile daraja la treni....
Hahaha umenichekesha sana inaonekana ulikuwa mtundu sanaMama yangu alikuwa ngumu sana kututuruhusu kucheza nje na siku akituruhusu lazima tufanye au tushiriki kwenye janga la kutosha kusimulia mtaani. Tulikuwa tunaishi jirani na wahindi wengi kuna siku mhindi mmoja alitembelea jamaa zake pale akaegesha gari lake akaingia ndani. Nikajaribu kama kusukuma lile gari likawa linaenda, baada ya kuona gari linaenda sijui wazo lilipotoka ila tukaanza kulisukuma mpaka mtaa mwingine, njiani watoto wa kusukuma gari wakawa wanaongezeka tu, baadae gari likaja kugota sikumbuki kwenye kitu gani likawa halisogei tena, dogo mmoja akatoa wazo tutoe upepo kwenye matairi, tukazibua matairi yote...halafu unaweka sikio pale unapotoka upepo, kichapo nilichopata siku hiyo kimenisahaulisha hata mwaka wa hilo tukio.
Siku nyingine gari ya mlevi mmoja hivi iliponea chupuchupu maana kuna mtu alitukurupusha na tukaiishia kuutupa moto tuliokuwa tumeshika kwenda kuutupa chini ya gari, lengo letu ilikuwa tujue nini kitatokea baada ya kuweka ule moto chini ya gari.
Ebu tupe kisa kimojaWengine wetu nadhani tulizaliwa watundu tu.
So tukiangalia cha kuhadisia unatafuta kweli manake yote unayaona kawaida.
Huwa naona aibu nikiona post FB from my classmates either from Primary, Secondary, University and even beyond wakiniuliza hivi Nanlii uliacha utundu.
It seems hakuna anaenikumbuka kwa lingine isipokuwa utundu.
And if I wasn't very intelligent and loved by my teachers, ningeshafukuzwa tangu lower primary.
Usijali madam;!!!!Swadaktwaaaaaa.
Wakija nistue
Eeeeeeh!Ndio wanaume zetu walivyo hao.
Afu wanaume wanaonuka midomo kwa kupenda kunong'oneza usoni kwa wenzao...balaa!!
Wanaume wa hivo hapo uliowataja huwa wanajikutaga ni malaika waishio mbinguni milele.
Hivi kwanza mwanaume anaanzaje kuishi duniani akiwa hana hata pesa ya kumpa mwanamke ampendae!!
Afu ohhhh mapenzi sio pesa....asa mapenzi wanataka yawe maua au?
Mie kwanza Mwanaume asiye na pesa wala hanisisimui wala kunisimamisha kisimi.
Nilikuwa naelekea kuwa mtukutuHahaha umenichekesha sana inaonekana ulikuwa mtundu sana
Af leo unalalamika huwezi acha nyeroNilikuwa nawahi sana kwenda kulala ili nishituke usiku mnene kushuhudia mzee baba na mama la mama wakibanduana!![emoji23] [emoji23]
Hahahahahaha ila na nyie dadaenu alimbwato sana kwa expense ya kula free kiepe.Enzi hizo nipo maeneo ya shule ya mchikichini kwa wazee wa mapindi nilikua na siangu binamu mmoja alikua na bahasha wake anauza viepe mtaa wa sikukuu basi ilikua kila siku namtimbia na mwanangu mmoja kua tumeagizwa viazi,,,jamaa alikua wa kuja full kujaza chips yai na kuku sometime hadi hela alikua anatoa maana alikua anajua vinaenda kwa dem wake kumbe ngoma vinaishia njiani..na simu zilikua hazipo jamaa alipataga tabu sana[emoji53] [emoji53] [emoji53]
Mie katika vitu vinavyonitia kichefuchefu ni kibamia.
sister alikua hajamkubali kabisa sababu jamaa alikua wa kuja so nikatake advantage jamaa kuja kushtuka kashapigwa sanaHahahahahaha ila na nyie dadaenu alimbwato sana kwa expense ya kula free kiepe.
Mkuu umemjibu kitaalamu ha ha ha haKuna mdada alikuwa na hisia kama wewe kumbe tatizo ilikuwa yeye. Alikuwa na nanii kubwa mno. Aliwahi kulalamika kwa mwanamke ambaye ni daktar kwamba wanaume wengi anaona vibamia na anachukia sana, akaambiwa kimsingi ile kitu ni one size fits all, flexible sana, ndio maana hata kichwa ya mtoto inapita bila shida. Akaambiwa isingekuwa flexible baada ya kupitisha kichwa ya mtoto kila mtu ungeona ni kibamia tu. Aliponyiwa uchunguzi - du, wakaelewa kwa nini alichukia vibamia! Ilibidi ashonwe kubana bana.
Usikute na wewe una hilo tatizo. Mwone daktari.
Mkuuuu hahaaaa...aiseeeeeMwanaume anae bet ukimweleza shida zako anakusikiliza tu kwa umakini, ila kutatua sasa.
Anakua kama sanduku la maoni vile[emoji18]
Tupia cha Primary schoolWengine wetu nadhani tulizaliwa watundu tu.
So tukiangalia cha kuhadisia unatafuta kweli manake yote unayaona kawaida.
Huwa naona aibu nikiona post FB from my classmates either from Primary, Secondary, University and even beyond wakiniuliza hivi Nanlii uliacha utundu.
It seems hakuna anaenikumbuka kwa lingine isipokuwa utundu.
And if I wasn't very intelligent and loved by my teachers, ningeshafukuzwa tangu lower primary.
Technically speaking, mwanamke yeyote anaelalamikia vibamia, ana maanisha kwamba akisha zaa kwa natural means, anataka wanaume wenye vichwa vikubwa kuliko cha mtoto aliyezaa. Kidole tu kinawapagaisha, sasa hivyo wanavyoita vibamia sio zaidi ya kidole?Mkuu umemjibu kitaalamu ha ha ha ha
hahah utoto raha mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] aisee JF idumu...hivi vituko sijui ningevisoma wapi mimi!