kilakona schools
Member
- Jan 11, 2021
- 32
- 67
bora tupambane tujiweke 1 position huku tuombe al hilal wawe namba 2 tukutane nao tu hao ..Sasa naanza kuona ule ufalme wa timu za kiarabu taratibu unaanza kupotezwa, hawa wa sauzi wanaupiga mwingi na hawakutazami usoni, kiufupi wanajiamini haswa, wameshinda game zote tatu za round ya kwanza wako juu hawana habari.
Esperance nao wabaya sana, wameshampiga Zamalek 3 mpaka muda huu.
Watu wabaya ni Mamelod, Esperance na Al Ahl
Dili ya mosimane iyo iligomewa....Hii pointi muhimu, Simba tusiridhike kwa kumuweka mfukoni utopolo au ku draw na Mazembe kwenye friend match, kuna vigingi huko mbele sio mchezo, kuchukua kombe Klabu Bingwa Afrika inatakiwa kufunga mkanda haswa.
Niliona walimgomea Al Ahly kumuuzia mchezaji wao toka Paraguay, jamaa wana viburi haswa na wanaupiga wa kutosha.
Zamalek ina ukata mkubwa sana wa kifedha sishangai kula icho kipigo....Esperance nao wabaya sana, wameshampiga Zamalek 3 mpaka muda huu.
Watu wabaya ni Mamelod, Esperance na Al Ahl
Mziki upi?Usijidanganye mkuu, Al Ahl haitishi kivipi, ni hiyo game ya Simba Sc tu. Tazama mziki saa 4
Battle Of IsandlwanaBajeti ya Mamelodi haina tofauti na bajeti ya waarabu..
Hao wanaitwa masandawana huwa hawabahatishi.. na mzee Motsepe bosi wao hanaga ubahili
Well said mkuuNasikia huyo Motsepe ndio anaenda kuchukua nafasi ya Ahmad pale CAF tena akipigiwa chapuo na bosi wa FIFA Infantino.
Kweli mpira ni uwekezaji sio makelele na kubeba watu migongoni.
vipi ulitazama mkuuUsijidanganye mkuu, Al Ahl haitishi kivipi, ni hiyo game ya Simba Sc tu. Tazama mziki saa 4
Esperance nimewaangalia mechi mbili hamna kitu hapo, tukipangwa nao robo fainal hesabu Simba tayari amefuzu nusu fainal.Esperance nao wabaya sana, wameshampiga Zamalek 3 mpaka muda huu.
Watu wabaya ni Mamelod, Esperance na Al Ahl
Pole utopolo! Hilo nai dua la kuku wa jangwani!! Uwanja wa Mkapa tuna pointi zetu 6 za ziada!! Moja tuna uhakika tutaipata huko Misri!!Tulia wewe, ngoma ya watoto haikeshi....
Vita na Ahly wanavuka hili kundi mtabaki na pointi zenu 7 au 8
Mo alizaliwa akaikuta Simba na ataondoka ataiacha Simba ikiendelea!Mo hakuna kitu
Si alishasusa mara 2 wakamuomba msamaha
Ya tatu ataondoka
Na si kushinda tu wanashinda kibabeSasa naanza kuona ule ufalme wa timu za kiarabu taratibu unaanza kupotezwa, hawa wa sauzi wanaupiga mwingi na hawakutazami usoni, kiufupi wanajiamini haswa, wameshinda game zote tatu za round ya kwanza wako juu hawana habari.