Tuambizane ukweli, hawa Mamelodi Sundowns sio watu wazuri

Tuambizane ukweli, hawa Mamelodi Sundowns sio watu wazuri

Sasa naanza kuona ule ufalme wa timu za kiarabu taratibu unaanza kupotezwa, hawa wa sauzi wanaupiga mwingi na hawakutazami usoni, kiufupi wanajiamini haswa, wameshinda game zote tatu za round ya kwanza wako juu hawana habari.

bora tupambane tujiweke 1 position huku tuombe al hilal wawe namba 2 tukutane nao tu hao ..
 
Esperance nao wabaya sana, wameshampiga Zamalek 3 mpaka muda huu.

Watu wabaya ni Mamelod, Esperance na Al Ahl

nlichek game ya esperance ni MOTOOOO, alafu Mamelod sundowns ashanipa hela sana kwene kubeti wala sina wasi wasi nae hata kama akitanguliwa goli
 
Hii pointi muhimu, Simba tusiridhike kwa kumuweka mfukoni utopolo au ku draw na Mazembe kwenye friend match, kuna vigingi huko mbele sio mchezo, kuchukua kombe Klabu Bingwa Afrika inatakiwa kufunga mkanda haswa.

Niliona walimgomea Al Ahly kumuuzia mchezaji wao toka Paraguay, jamaa wana viburi haswa na wanaupiga wa kutosha.
Dili ya mosimane iyo iligomewa....
 
Nasikia huyo Motsepe ndio anaenda kuchukua nafasi ya Ahmad pale CAF tena akipigiwa chapuo na bosi wa FIFA Infantino.

Kweli mpira ni uwekezaji sio makelele na kubeba watu migongoni.
Well said mkuu
 
Team za Africa viwango havipishani saaana na mi ninavyoiona simba ina wachezaji wazuri na wapambanaji sana na ni bora waendelee kutuchukulia poa hivyo hivyo wanakuja kushtuka tupo final na tumeweka kauli ya win the trophy or die
 
Tulia wewe, ngoma ya watoto haikeshi....
Vita na Ahly wanavuka hili kundi mtabaki na pointi zenu 7 au 8
Pole utopolo! Hilo nai dua la kuku wa jangwani!! Uwanja wa Mkapa tuna pointi zetu 6 za ziada!! Moja tuna uhakika tutaipata huko Misri!!
 
Back
Top Bottom