kilakona schools
Member
- Jan 11, 2021
- 32
- 67
bora tupambane tujiweke 1 position huku tuombe al hilal wawe namba 2 tukutane nao tu hao ..Sasa naanza kuona ule ufalme wa timu za kiarabu taratibu unaanza kupotezwa, hawa wa sauzi wanaupiga mwingi na hawakutazami usoni, kiufupi wanajiamini haswa, wameshinda game zote tatu za round ya kwanza wako juu hawana habari.