Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Kwako wewe YESU ni ujinga, lakini kwetu sisi YESU KRISTO ni NJIA KWELI NA UZIMA WA MILELE. Bahati nzuri sana NENO la KWELI la MUNGU lilishatuambia kwamba watu kama ninyi mtatokea na kuikana ile KWELI. Mimi sishangai hata kidogo ukisema hayo unayosema sababu BIBLIA iliandika habari za watu kama wewe.

Upinge, ukatae; YESU KRISTO ni BWANA WA MABWANA NA MFALME WA WAFALME na atakuja tena duniani "kuusimika" Ufalme wa MUNGU na kuleta uhukumu ya kweli na haki, na siku hiyo utapiga magoti mbele yake huku ukilia na kusaga meno. Amini nakuambia nyabhingi siku hiyo utakumbuka maneno yangu.
Hamka usingizini. Walitulete Bible na Qur'an wakachukuwa............?
 
Mzungu gan tena
huyu hapa, mliyezika 2008
th (83).jpeg
 

Attachments

  • th (83).jpeg
    th (83).jpeg
    5.4 KB · Views: 32
Vinginevyo ni kazi bure, kwani uongo unaendelea hata sasa hivi, watu hawaoni
 
Back
Top Bottom