Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Mambo ni [emoji91] OK tutakuwa tukijadii fundishana tuu bila kuchukua hatua maana Mada Kama hizi nyingi Sana tumekuwa Tukizisikia PIA kuzijadili Ila hakuna kinachofanyika, MY QUESTION TO YOU ALL TUNASUBIRI AJE HATUA ACHUKUE KILA SIKU TUTAJADILI TUUUU
hatua wengine tulishachukua miaka mingi
biblia na quran tulishatupa kwenye garbage bin
 
yesu anayeelezwa kwenye biblia hajawahi kuwepo
yeshua hamashiach alikuwepo na alikuwa black,huyu alikuwa ni freedom fighter,the soldier aliyepambana na utawala wa warumi pale canaan..
your bible jesus is a fable..throw him in garbage bin
Ahsante kwa hili ,naweza kupata maelezo au link ya Yeshua hamashiach? Nijifunze vzr mkuu
 
yesu anayeelezwa kwenye biblia hajawahi kuwepo
yeshua hamashiach alikuwepo na alikuwa black,huyu alikuwa ni freedom fighter,the soldier aliyepambana na utawala wa warumi pale canaan..
your bible jesus is a fable..throw him in garbage bin
Ngoja waje wafia dini hapa patawaka moto, hawawezi tuacha salama hawa WATU Weupe Kama ni mbegu walopanda now inae mizizi mikubwa NA iliyojichimbia Sana kuufuta ubible na uquran Kwenye mindset Zetu waafrica maybe tufe wote Zeni wazaliwe new black peoples
 
OK ndugu nyabhingi je unajua kuna kundi kubwa LA WATU ambao Hata simu ya mkononi hawana, hawajui kusoma hao umewaweka kwenye kundi gani elimu inawafikia vipi
hiyo ni changamoto,tusaidiane mawazo
ni kazi kubwa sababu wengi wameingizwa ujinga huu wakiwa wadogo,inawaogopesha kuiacha sababu wanaamini kuwa walichoambiwa ni kweli na mbaya zaidi wametishwa eti watachomwa moto!!!
 
...........................Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie
Yote ulioongea nakubaliana na wewe, ila kwenye hii kauli hapo juu. No sitaiga mababu zangu kutegemea mizimu! Ni sawa na kusema "unamkimbia polisi anakuonea namfuata magereza" Wakati vyote ni under the same roof.
Tuijue kweli nayo kweli itatuweka huru.
 
Aiseee hatari sana.... Naweza kujuzwa kuhusu Mizimu ni akina nani na tunaiamsha vipi ili ije itusaidie??

BOB MARLEY alisema, "Emancipate yourself from mental slavery, none but ourselves can free our minds...."

Sasa kabla hatujajikomboa sisi tunataka misaada ya Mizimu, hebu nidadavulieni hapo.
 
rubbish
Matthew 16:28 King James Version (KJV)
28 Verily I say unto you, There be some standing here, which shall not taste of death, till they see the Son of man coming in his kingdom.

hapa your man god jesus hakudanganya?
hivi unaweza kuniambia kuna mwandishi yoyote aliyeandika kuhusu yesu wako zaidi ya biblia yako iliyochongwa na warumi?
Wewe huna imani na NENO la MUNGU ndiyo maana unaona kwa mstari huo YESU alidanganya. Sasa kwa taarifa yako YESU KRISTO hakudanganya wala hakusema uongo. Hii dunia ina mambo mengi sana usiyoyajua wewe. Hivi hebu nikuulize, unawajua watu wote wanaoishi katika hii dunia na historia zao?

Jibu ni rahisi sana hujui. Sasa fahamu kwamba NENO la MUNGU ni kweli na siyo uongo, hao watu aliosema BWANA YESU kuwa hawataonja mauti kamwe mpaka watakapomwona akija katika Ufalme wake ni kweli kabisa wapo na wanaishi. Amini usiamini. Kutokuwajua hao watu na kuwaona kwa macho haina maana kwamba hawapo. Mimi naamini hao watu wapo na wataendelea kuwepo mpaka ile siku MESSIAH atakapokuja kwenye Ufalme wake.
 
Nisaidie, vyama vya siri vipo, na wenye nacho wanaishi tu kama binadamu wengine, swali, je hii inauhusiano gani na mada?
Asante
Labda nikueleze tu kile ninachofahamu kuhusu kitu kinaitwa mali_'kuwa nacho'

ivyo labda itakufanya ujue kwa nini niliuliza Vile

Mosi_hamna mwenye chake, ila tu kuna wajinga fulani wanaojichosha kukusanya wasivyoweza kutumia(hata kwetu wapo)

Labda hao ndio mnaowaita vyama vya siri_na mwisho wa kila kitu sidhani kama unaufahamu nao.

Pili_Ubwana na utumwa/uungwana na utwana_haujaanza leo na hautakwisha

Lofa lazima atawaliwe na Majanja_na si vibaya ni afya ya utaratibu wa mfumo wa maisha ya dunia.

Hata race yenu ikipata inachohitaji bado naamini kila kitu kitakuwa vile vile Tu.

Swali..Na nyie mnapata wapi iyo akili ya kuita wenzenu weupe na nyie weusi..!?

Mi nadhani nyie ni wabaguzi kuliko wao na dalili za ubaguzi mkali mnazionesha mapema sana_ Na ndio maana hamfanikiwi.
 
Aiseee hatari sana.... Naweza kujuzwa kuhusu Mizimu ni akina nani na tunaiamsha vipi ili ije itusaidie??

BOB MARLEY alisema, "Emancipate yourself from mental slavery, none but ourselves can free our minds...."

Sasa kabla hatujajikomboa sisi tunataka misaada ya Mizimu, hebu nidadavulieni hapo.
swali zuri, utajibiwa
 
Labda nikueleze tu kile ninachofahamu kuhusu kitu kinaitwa mali_'kuwa nacho'

ivyo labda itakufanya ujue kwa nini niliuliza Vile

Mosi_hamna mwenye chake, ila tu kuna wajinga fulani wanaojichosha kukusanya wasivyoweza kutumia(hata kwetu wapo)

Labda hao ndio mnaowaita vyama vya siri_na mwisho wa kila kitu sidhani kama unaufahamu nao.

Pili_Ubwana na utumwa/uungwana na utwana_haujaanza leo na hautakwisha

Lofa lazima atawaliwe na Majanja_na si vibaya ni afya ya utaratibu wa mfumo wa maisha ya dunia.

Hata race yenu ikipata inachohitaji bado naamini kila kitu kitakuwa vile vile Tu.

Swali..Na nyie mnapata wapi iyo akili ya kuita wenzenu weupe na nyie weusi..!?

Mi nadhani nyie ni wabaguzi kuliko wao na dalili za ubaguzi mkali mnazionesha mapema sana_ Na ndio maana hamfanikiwi.
Asante, kwa mchango wako, lakini kuelewa ni kitu kimoja,kuipata maana ni kingine kabisa, wa baguzi sio sisi, bali wabaguliwa ,unadhani uvivu wako wa kuhoji, na kutafiti unaweza kubatilisha takwimu??? Ama mafundisho ya dini bandia,kuepuka uhakiki?, Ni saa ya matanuri yawakayo moto, ni ukweli tu, ndio utapita salama, kuhusu kufanikiwa tunafanikiwa sana, sana move yetu sio ya kisiasa, na wala hatuhitaji kujithibitisha kwako, na mwisho wa siku Tunajua hata milango yote yagereza ikivunjwa, bado kunawatu, wataamua kubakia humo gerezani....
 
Back
Top Bottom