Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nasoma baadhi ya links through VPN ,huko huko deep webVPN si chochote kwa Depp Web. Inatumika kwenye Public Internet tuuu (surface web). Nenda Wikipedia usome, usizoee Google tuuu Google tuu. Soma Wikileaks, Wikipedia, etc
well tuwekee humu hiyo stori kwa mtiririko maana kule kwingine nimetoka kapaMichael aliuliwa mwaka 1984, na stori yote tunayo
karibia vitu vyote uvijuavyo umefundishwa na hao wazunguKila kitu akisema mzungu mwakubali bila kuhoji???
Unamaana gani? Huyu aliyebaki alikuwa msukule?Michael aliuliwa mwaka 1984, na stori yote tunayo
View attachment 806225 huyu sio Michael JacksonView attachment 806227 hahaha, yaani mtu, kachongwa kabisa kama kinyago????, Huyu si o Michael Jackson
je zile habari za Mj kwamba aliamua kufanya plastic surgery ili afanane na diane ross kwa kuwa alikuwa ana mpenda sana huyu dada ni zakweli?View attachment 806225 huyu sio Michael JacksonView attachment 806227 hahaha, yaani mtu, kachongwa kabisa kama kinyago????, Huyu si o Michael Jackson
yesu awabebe kwani ni housegirl.Safi sana. Mungu gani anao waambia watupigie makelele usiku Wa manane watu tume lala. Eti yesu nibebe yesu wangu ni bebe
Hapo kwa yesu masia hapo!Kweli Iko complicated, hasa pale siasa , dini , ubaguzi wa rangi ya ngozi, na uchumi, vinapokinzana, yahitaji jitihada binafsi, na mbinu mbadala kuupata,ndio sababu, Kuna relative, neutral na concrete Ama absolute truth
mbona kisa kizima cha Yesu masia ni hadithi ya kufikirika, lakini haipingiki??
Siku hizi wanawekewa Vionjo fulani vinavyoufanya Ubongo eitha uwe kwenye Huzuni, hasira, hofu, FURAHA au hali yeyote........!! kwenye Vionjo vya Furaha Mtu akiwa kwenye Mfano Ngoma humpanda Mdadi mpaka hufikia kuchimba shimo, kukata Mauno kusikofaa au kupagawa anapocheza hiyo ngoma yenye vionjo(Power behind the Music)I will refer to the power behind the music industry as the machine. Those that operate and control the machine are like ghosts to the masses, but those that have an open third eye are able to see these ghosts. As I have stated in other blogs, if one doesn’t have a thorough knowledge of the occult, they will never fully understand the secret society within the music industry. Some call this secret society the Illuminati and others refer to them as the elite. Whatever name you call them by doesn’t matter, but what does matter is their silent control that they have over the masses without ever being seen.
Mimi huwa naamini kila mtu ana akili zake mwenyewe, akishindwa kujisimamia matokeo ndio haya kama ya huyu maiko Jackson.View attachment 806225 huyu sio Michael JacksonView attachment 806227 hahaha, yaani mtu, kachongwa kabisa kama kinyago????, Huyu si o Michael Jackson
acha ujinga,yesu ni mtu wa kusadikika aliyetengenezwa na warumiHao mizimu ni akina nani?? Mizimu ni "mashetani" yanayojigeuza na kujifanya ni watu waliokufa zamani. Sikia wewe mdada Fatima binti hemedi iko hivi; kwangu mimi YESU KRISTO ndiyo njia, kweli, na uzima.
YESU KRISTO pekee ndiyo jina tulilopewa na BWANA MUNGU ili tulitumainie na kutuokoa. Hata wewe nakuomba kuanzia leo anza kumtumainia YESU KRISTO na utaupokea uzima wa milele na hao "mapepo" unaowaita "mizimu" watakukimbia na utakuwa huru, tena utakuwa huru kweli kweli.
nimeshaanguka kwenye penzi na weweNa ninakuhakikishia we son of gamba na wenzio wakiristo na waisilamu ni Msukule tu katika gereza la wayahudi...huijui biblia, Wala Yesu, wala shetani, na tuko hapa tutakufunza, ujitambue, uanze upya kujipenda nafsi yako, na vyote vya kwako, hivyo hivyo nchi na bara lako, na ukome kuwatukana muzimu, mababu na wahenga wako
Kwa hiyo Yesu Masiah hakuwahi kuwepo na wala hakua MTU mweusi? Km baadhi ya wachangiaji humu JF ,wamewahi kuchangia?acha ujinga,yesu ni mtu wa kusadikika aliyetengenezwa na warumi
there was never jesus
Kwako wewe YESU ni ujinga, lakini kwetu sisi YESU KRISTO ni NJIA KWELI NA UZIMA WA MILELE. Bahati nzuri sana NENO la KWELI la MUNGU lilishatuambia kwamba watu kama ninyi mtatokea na kuikana ile KWELI. Mimi sishangai hata kidogo ukisema hayo unayosema sababu BIBLIA iliandika habari za watu kama wewe.acha ujinga,yesu ni mtu wa kusadikika aliyetengenezwa na warumi
there was never jesus
yesu anayeelezwa kwenye biblia hajawahi kuwepoKwa hiyo Yesu Masiah hakuwahi kuwepo na wala hakua MTU mweusi? Km baadhi ya wachangiaji humu JF ,wamewahi kuchangia?
rubbishKwako wewe YESU ni ujinga, lakini kwetu sisi YESU KRISTO ni NJIA KWELI NA UZIMA WA MILELE. Bahati nzuri sana NENO la KWELI la MUNGU lilishatuambia kwamba watu kama ninyi mtatokea na kuikana ile KWELI. Mimi sishangai hata kidogo ukisema hayo unayosema sababu BIBLIA iliandika habari za watu kama wewe.
Upinge, ukatae; YESU KRISTO ni BWANA WA MABWANA NA MFALME WA WAFALME na atakuja tena duniani "kuusimika" Ufalme wa MUNGU na kuleta uhukumu ya kweli na haki, na siku hiyo utapiga magoti mbele yake huku ukilia na kusaga meno. Amini nakuambia nyabhingi siku hiyo utakumbuka maneno yangu.