Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

th (60).jpeg
th (60).jpeg
huyu sio Michael Jackson
 
Inaonekana hujui hata nimekaa kimya kwa swali gani. Ungeuliza mzee. Najua ninachoandika na kukikusudia pia.

Sikukaa kimya sababu nilitakiwa kuandika au kutoa hoja.

Nimekaa kimya kwa kauli zako na nimekaa kimya kwa kukupuuza tu.

Ukitaka ziada nitakupa mzee.
Haya mjukuu, asant e kwa heshima na taadhima
Sasa lete hoja
 
Huyu ndio baba wa wale watoto wazungu....kisa ni ubaguzi wa rangi...ona sasa wana Justin bieber wao, wakamuua tupac wakamchomeka Eminem....lakini hawatuwezi....sisi ni watu wa Mungu, mbegu ya asili
Duh!
Alafu huwa wana disclose kwenye movies zao nyingi!
 
Siasa na dini vimetupofusha, ni lazima mwafrika aamke kwenye sector zote!
 
Siasa na dini vimetupofusha, ni lazima mwafrika aamke kwenye sector zote!
Ngoja nikuulize wewe maswali madogo tu kama hutojali na anaweza kujibu yeyote mwenye kujua

1.Unaamini katika vyama vya siri kama vipo kweli.?

2.la nyongeza_Je mmewahi kufanya utafiti mkatambua watu wanaounda ivyo vyama wana life span kama yetu au wao ni tofauti na sisi.?
 
Enenda zako Shetani wewe! maana imeandikwa alaaniwe awalaaniye wana wa Israeli. Tena BWANA MUNGU na akukemee Shetani wewe, BWANA aliyeichagua Jerusalemu kuwa mji wa Mfalme MKUU na akukemee!
Acha ujinga, Mungu sio mbaguzi hata kidogo....na wala mungu sio myahudi, wamekushikeni kweli masikio, kwa hivyo hata ubaya gani wakifanya hamtaona, misukule nyinyi
 
Back
Top Bottom