Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blessed mother of the gods
Natumai si dhihakaSasa hao mizim wanalala sahv wakat mda wa bado
Naona tunatishana naogopa sana mizim mimiNatumai si dhihaka
Umeanz vizuri ila mwisho umeboronga.Nitatumia fursa hi kufafanua kuhusu mizimu
Mzimu ni roho, ama ghost, unaposema roho mtakatifu, ama holy ghost unamaanisha, mzimu mtakatifu. Sisi wote ni mizimu yenye mwili, ukitenganisha unapata, ama roho, ama maiti. Ziko limwengu mbili, ile ionekanayo na ile isiyoonekana. Hi ndio original, sasa wanasayansi wameyathibitisha haya, ya kwamba roho ni energetic form, na chanzo ni the super source au sense hiyo mnaita Mungu. Utaratibu was maumbile unangazi zake, lazima uzipitie zote kumfikia Mungu. Kwa hivyo unakuta walio hai, wafu mizimu wa Aina mbalimbali, pepo ama majini, kisha malaika, miungu na hatimaye Mungu. Kila kitu kina roho, kila kitu ni energy, fundisho la kumkweza binadamu juu' ya vingine vyote ni fundisho la uongo, mbele za Mungu kila uhai una thamani ileile
Mkuu Kauga Jr Kama Umeandika Nazani Badala Ya Nadhani Unadhani Unaendana Na Mimi Kweli?Nenda fb kiongozi nazani umepotea njia
karibu ndugu tusaidiane kujenga,nisahihishe Kama nimekoseaUmeanz vizuri ila mwisho umeboronga.
Hahaha, mizimu wenyewe ambao unao waamini wanakosea mkuu, kukosea ni jambo dogo sana.Mkuu Kauga Jr Kama Umeandika Nazani Badala Ya Nadhani Unadhani Unaendana Na Mimi Kweli?
Mwisho Wako Leo Kunikuu Ukijua Kuwa Ubongo Wako Umejaa Pumba!
Kijani????fafanuaTungeanza na hawa vibaraka wa kijani maana hawatutakii mema pia
Mwanadamu ameumbwa kwa vitu viwili, umbile la nyama na roho, ndio kitu kinachomtofautisha na viumbe wengine, unapotenganisha roho na mwili, hapo tunasema mwanadamu amefariki. Mwanadamu anapotumia kimoja wapo anakuwa na mapungufu makubwa sana.karibu ndugu tusaidiane kujenga,nisahihishe Kama nimekosea
Ni kweli, lakini limwengu ya roho, na ya kimwili vinategemeana,mizimu wetu ndio daraja letu na ulimwengu wa roho na malaika na uungu, ukiondoa tembe moja, mkufu umevunjika, Achebe akakwambia things fall apartMwanadamu ameumbwa kwa vitu viwili, umbile la nyama na roho, ndio kitu kinachomtofautisha na viumbe wengine, unapotenganisha roho na mwili, hapo tunasema mwanadamu amefariki. Mwanadamu anapotumia kimoja wapo anakuwa na mapungufu makubwa sana.
Ndiyo rangi ya kijaniKijani????fafanua
Ndugu waweza fafanua hoja yako????Ndiyo rangi ya kijani
Muulize mwanao aliyepo darasa la 3 atakusaidiaNdugu waweza fafanua hoja yako????