Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Hata Tupac na Biggie waliuliwa, hawakuuwana, kama wengi tunavyodhani
majority of black musician in america being hunted since since, wazungu huwanga wanaangalia mbali sana na kutengeneza a sort of conflict between blacks to kill them self, anagalia nyimbo alizokuwa anatoa 2pac alikuwa basis yake iko pande ipi, what About notoriou b. i. g wote waafrica......... wazungu wana msemo wao wanasema...........

"we dont kill anyone but we Find the way our victims to kill themself "

their life are in jeopardy up to now
 
Du, sahihi kabisa
 
January 27, 1984: Michael Jackson's hair catches fire during Pepsi commercial
hakupona ajali ya moto, alikufa....ndio feki alipoingia
michael time hizo alikuwa in riptide hiyo ilikuwanga first sign of warning, wonder shall never end ile alikuwanga amepanga show yake ya mwisho ili dunia ijue siri aliyoko nayo but bofore They Day dated, they put him down
 
Niliusoma huu ujumbe nikasema ndani ya moyo nitarudi na hatimaee nimerudi
Ni ukweli kwa asilimia kubwa ukweli umeuongea nimejaribu kuangalia watu mashuhuri ambao waliorithiwa nimebaki naduwaa tuu kikubwa ngozi nyeusi inauwezo wa kufanya mabadiliko mengi sanaa tupende vya kwetu wazungu hawapo tayari kuona wawe chini yetu wanahangaika sana kutuangamiza M.jackson,Jay z..... Ni hatari hii shukrani mtoa madaa
 
Ila mzimu wa Mzungu unauabudu, ukiambiwa wa babu yako ugomvi, Yesu ni duni kuliko mzimu, ni sanamu , mdoli na msalaba wake wa mbao mnao abudu
Kwa bahati mbaya Yesu si mzimu, labda kwa ufahamu wako, hiyo ndiyo tabu yetu kwa baadhi ya waafrika hatujui na hatjui kama hatujui.
Kwanza Yesu ametokea Mashariki ya kati, sisi tumekuja kujulishwa kunako habari zake na wazungu, kwa nini tusijifunze kujua ukweli tufanye utafiti kama tujue uhalisia wa maisha ya Yesu huko alipozaliwa na kuishi. Halafu jiulize huo mzimu wa babu yako hadi hii leo umekusaidia kitu gani?
 
Hii ni imani!
Kwani huoni watu wanavyo tambika?
Na si lazima utambike, jiulize nafsini kwako hii drama ya dini na siasa duniani....
 
370737B0-1D54-458B-BEF8-0491BE2C7E07.jpeg
 
Kweli kali sana, uchi wa mwanamke skuhizi kama karanga hadharani, wengi hawajui sehemu Za siri ni wakfu, kuziangalia hovyo ni laana mtengeneza picha Za ngono nani duniani???? Myahudi..wafanya biashara mabillionea wa pornographia...laaana kubwa mno
True!
Dawa yao hawa watu ni kujua mbinu zao, hizo nguvu za kutawala dunia anazipata kwenye nini, alafu tunazifanya in a positive way!
Ni ujanja gani wanao tumia kutugandamiza waafrika, na sisi waafrika wapi tunakosea mpaka tukafika hali hii!
Yaani haya ndiyo maombi yangu kila siku!
Na ninaamini nitazijua tu!
Ndiyo focus yangu kubwa!
 
Mungu atusaidie....angalia wanapandikiza vitu kwenye vyakula....wanaharibu genetics, angalia wanavyopromoti usenge, na usagaji,unazania kuna bahati mbaya?? Kila kitu kimeandaliwa...
 
Kuweni waanga lifu sana....chanjo hizi, na vyakula by a masupa maketi...angalia wimbi la wanaume wanaitawala na viungo vya kike linaongezeka, na wanawake vya kiume pia
 
Back
Top Bottom