Ni ujinga na upumbavu wa Hali ya juu, we sayansi imethibitisha, Kuna zaliwa watoto wa kike wengi kuliko wa kiume duniani kote, we unakuja unasema ndoa ya mke mmoja, Hawa wengine wataolewa na Nani? Africa Mila desturi zinaendana na mazingira, vivyo hivyo Imani, wake wengi, watoto wengi, Miungu wengi, ardhi kubwa,Kuna chakula kingi, watu wengi Taifa kubwa.....fundisho la ndoa ya mke mmoja, Kama lile la mungu mmoja, ilikuwa ni kampeni ya wachache, kuwadhoifisha, na kuwatawala wengi, na wamefanikiwa mno