geesten66
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 2,042
- 2,370
Na wewe yesu josefu kakusaidia nini?Kwa bahati mbaya Yesu si mzimu, labda kwa ufahamu wako, hiyo ndiyo tabu yetu kwa baadhi ya waafrika hatujui na hatjui kama hatujui.
Kwanza Yesu ametokea Mashariki ya kati, sisi tumekuja kujulishwa kunako habari zake na wazungu, kwa nini tusijifunze kujua ukweli tufanye utafiti kama tujue uhalisia wa maisha ya Yesu huko alipozaliwa na kuishi. Halafu jiulize huo mzimu wa babu yako hadi hii leo umekusaidia kitu gani?