Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Na wewe yesu josefu kakusaidia nini?
 
Usijali tutayazungumzia yote....kwa wakati wake
Ukifika wakati nitakuwa msikilizaji kwa asilimia kubwa naimani nitapata mengi zaidi na mazuri na tatizo la watu wengi ukiwa unayazungumzia haya mambo wanayaona kama ni uzushi na wewe hauna la kufikiri.
Watu wanatakiwa waelewe haya mambo yapo na yanafanyika muovu ananjia nyingi sana za kuwaangamiza watu na hii ni kutokana na tamaa zetu za hapa duniani.
 
Utapata yote, kil a kitu kiko hapa
 
ni Dhana iliyoibiwa, hadithi ikatengenezwa....hadithi ya jicho la horus, ndio stori ya yesu, lakini Iko legend ya yagashya....imefanana sana na yesu
idea ya trinity waliiba hapa(isis,osiris and horus) wakaita god father,god son and holy ghost(hapa wakamuondoa goddess isis sababu ya mfumo wao dume)
mkuu pitia the egyptian book of coming forth by day and night(them crackers mis-called it the egyptian book of the dead)
hapa serious copy and paste ya biblia na quran ilipofanyika
supposedly moses alipoiba anazoita amri kumi za mungu na kuacha nyingine 32

  1. Osiris did the same things. He was born of a virgin, was considered the first true king of the people, and when he died he rose from the grave and went to heaven.
  2. Osiris's son, Horus, was known as the "light of the world", "The good shepherd", and "the lamb". He was also referred to as, "The way, the truth, and the life." His symbol was a cross.
 
Kuweni waanga lifu sana....chanjo hizi, na vyakula by a masupa maketi...angalia wimbi la wanaume wanaitawala na viungo vya kike linaongezeka, na wanawake vya kiume pia
Hata maswara ya kuja kutupima ukimwi
Sokoni, stend, makazini kwetu. Tusi waamini tukatae kabisa. Kwa nini wasijipime wenyewe uko USA. Waje Kwetu Africa.
 
Mwigo, wanaiga mambo yetu, kufanya mambo yao machafu, piramidi ndio jengo la ibada ya mtu mweusi,na jicho la Osare manage ndiye yagashya mwana wa mungu aliye hai,ndugu ni kazi ya ibilisi kukupotosheni, msijitambue, mara free mason, mara, illuminati
Nimewahi kufika ktk hilo pyramid kuu,mpk ndani kabisa ktk sehemu alipolazwa farao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…