Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
- Thread starter
-
- #621
Naomba ushahidi juu ya kauli yako kuhusu Muhammad amani ya Allah iwe juu yake kwamba alikuwa mweusi tii na asili yake ni Ethiopia.Mweusi tii, asili yake ethiopia, si unaona kisa ubaguzi, wanaificha taswira yake., Hata mchoro wa sura yake. Quran yenyewe mambo mengi yamepotoshwa, na mengine kufichwa....Muhammad alikuwa mpingo, mweusi tii
Ni yapi hayo yaliyopotoshwa katika Qur'an ?Mweusi tii, asili yake ethiopia, si unaona kisa ubaguzi, wanaificha taswira yake., Hata mchoro wa sura yake. Quran yenyewe mambo mengi yamepotoshwa, na mengine kufichwa....Muhammad alikuwa mpingo, mweusi tii
Sawa kwa wakati wake, tutayasema yoteNaomba ushahidi juu ya kauli yako kuhusu Muhammad amani ya Allah iwe juu yake kwamba alikuwa mweusi tii na asili yake ni Ethiopia.
Kwanza tuambie kama Qurani imehalalisha biashara ya utumwaNi yapi hayo yaliyopotoshwa katika Qur'an ?
Mie nataka vyote,kichwa yangu ina uwezo wa kuhimili na kuhifadhi ,kuchanganua vyote hivyoSi niliwaambieni nyie, huu uzi utatangaza vita, lakini ukweli lazima ujulikane....sasa mwataka ya Muhammad, Michael Jackson tumwache?????
kuanza kuhoji ni hatua nzuri sanaSometimes hua naangalia hii system ya maisha tunayoishi wanadamu. Naona kuna kitu hakiendi sawa kabisa. Naamini katika Mungu na Yesu kristo lakini naona HUU MUUNDO WA MAISHA TUNAYOISHI WANADAMU WOTE TOKA KUZALIWA HADI KUFA ndio tunatakiwa tuishi hivi? Nadhani kunawatu walikaa chini wakaunda mfumo wotee huu tunaoishi leo kwa manufaa yao binafsi na Sio mpango wa Mungu. Nikifikiria hayo nakua desperated sana sana nawaza kuhusu ulimwengu unavyoendeshwa kwa siri huku adui mkubwa akiwa Black Man. Nabakia tu kumshukuru Mungu kwa kunileta duniani nione Ukuu wake. But real am so Sad kwa yanayoendelea nyuma ya Pazia.
Imekataza biashara ya Utumwa.Kwanza tuambie kama Qurani imehalalisha biashara ya utumwa
Hebu weka sura yake? Maana kipindi hicho technologia ilikuwepo au nawe umekula maharage ya Mbeya.Mweusi tii, asili yake ethiopia, si unaona kisa ubaguzi, wanaificha taswira yake., Hata mchoro wa sura yake. Quran yenyewe mambo mengi yamepotoshwa, na mengine kufichwa....Muhammad alikuwa mpingo, mweusi tii
Sawa polepole, na Amen atusaidie, tufanye kazi yetu katika haki na kweli, na njia iloonyookaMie nataka vyote,kichwa yangu ina uwezo wa kuhimili na kuhifadhi ,kuchanganua vyote hivyo
wachoraji walikuwepo.....Hebu weka sura yake? Maana kipindi hicho technologia ilikuwepo au nawe umekula maharage ya Mbeya.
mbona michoro ya watu wa zamani ipo???Hebu weka sura yake? Maana kipindi hicho technologia ilikuwepo au nawe umekula maharage ya Mbeya.
Tupe Surat husikaImekataza biashara ya Utumwa.
Kumbuka nimefika Egypt ktk pyramid ,na ukaniambia pale ni chimbuko rasmi,so nina shauku ya kujua mengi ,then nikienda Mara ya Pili nijue pakuanzia na kumaliziaSawa polepole, na Amen atusaidie, tufanye kazi yetu katika haki na kweli, na njia iloonyooka
Usijali utapewa yoteKumbuka nimefika Egypt ktk pyramid ,na ukaniambia pale ni chimbuko rasmi,so nina shauku ya kujua mengi ,then nikienda Mara ya Pili nijue pakuanzia na kumalizia
nilikaa huko miaka mitatu nikifanya utafiti wa dini za kale, ukienda tena nenda kwenye hekalu la Amen Saqqara, wamejenga msikitiKumbuka nimefika Egypt ktk pyramid ,na ukaniambia pale ni chimbuko rasmi,so nina shauku ya kujua mengi ,then nikienda Mara ya Pili nijue pakuanzia na kumalizia
Shukrani,nipo hapa kupata darasa ,'ilmu'Usijali utapewa yote
AmenSawa polepole, na Amen atusaidie, tufanye kazi yetu katika haki na kweli, na njia iloonyooka