Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
- Thread starter
- #621
Kuna wakati walipoanza kuleta dharau zao, mtume akawaambia pepo ya mweupe iko katika mguu wa mweusi, ndio wakazidi kuchukia, ajabu ni kwamba aliyanukuu maneno kama yaleyale ya Issa Ibn Mariam: Jiwe walilolikata waashi limekuwa jiwe kuu la msingi