Mafundisho yamenisaidia sana.Na wewe yesu josefu kakusaidia nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafundisho yamenisaidia sana.Na wewe yesu josefu kakusaidia nini?
Huo ni ufahamu wako, lakini kuna watu wenye kuamini na kuitakidi Yesu alizaliwa akaishi kama binadamu wengine.yesu wa kwenye biblia hakuwa kuzaliwa,hakuwepo,hayupo na hatakuwepo
hakuna historia inayotambua uwepo wa huyo mtu wako
Hata sala ya kiislamu pale wakimaliza kusoma Surat fattha wana malizia kwa kusema Ameeeen kwa sauti ya juu kabisa kisha wana sujudu.isome tena sala ya baba yetu uliye mbinguni
Naomba unifafanulie nini mzimu, roho na shetani.pole sana, mizimu yako,iko na wewe sik u zote, wewe kabla ya kuja duniani ulikuwa mzimu, na ukiondoka unarudi kuwa mzimu,mzimu ni roho, tatizo waliokupa dini bandia walikuambia mzimu wa ko ni shetani....pole sana ndugu
Maana ya neno Aamiin (آمين) ni kwamba Mungu tukubaliye, na ni neno lilitotokana na semetic languages hutumika baada ya kumuomba Mungu, nadhani ndiyo neno pekee linalotumiawa na dini hizi 3 (Yahudi, Nasara(Christian) na Islam), halina uhusiano na hayo mambo mnayotaka kuwasadikisha watu.Hata sala ya kiislamu pale wakimaliza kusoma Surat fattha wana malizia kwa kusema Ameeeen kwa sauti ya juu kabisa kisha wana sujudu.
Uliza walokole, ama soma bibliaHiyo sala ya baba yetu inapatikana wapi ni kaisome?
Wanataka kuanzisha dini ya mashetaniMaana ya neno Aamiin (آمين) ni kwamba Mungu tukubaliye, na ni neno lilitotokana na semetic languages hutumika baada ya kumuomba Mungu, nadhani ndiyo neno pekee linalotumiawa na dini hizi 3 (Yahudi, Nasara(Christian) na Islam), halina uhusiano na hayo mambo mnayotaka kuwasadikisha watu.
Sijui nyinyi watu mna ajenda gani? Nadhani hata kwenye mizimu hampo bali mna kitu mnachotaka, anzisheni tu imani zenu mtawapata wa kukufuateni kunako kuzimu, kwani kuna waliyolala usingizi hasa.
You're so blessedAhsante, kumbe nilifanikiwa kufika kwa Mungu Wangu [emoji120] [emoji120] ,ahsante kwa kunijuza hili,hakika mie ni mwenye bahati [emoji120] [emoji120]
Sasa kama unalijua hilo kwa nini huachi figisu zako za Ego 'mara sijui wazungu wametufanya ivi na vile'.! Ajabu kweliSoma profile, mkikosaga hoja mnaanza ubaguzi,mtu ni roho, sio mwili huu, mbele za Mungu wote ni kitu kimoja
Kabla ya kiarabu, na hizo semitic, bara la Africa lilikuwepo...Kiarabu ni lugha changa mno,kuelezea Ubuntu, AMEN ni neno la kibantu cha kale(ancient Egyptian) likiwa na maana ya siri iliyojificha....uislamu, ukiristo,waarabu, hao Wayahudi, vyote viliathiriwa na mafundisho ya mtu huyu mweusi wa kaleWanataka kuanzisha dini ya mashetani
Hii biblia ndiyo ya kuhani nyabinghi?Uliza walokole, ama soma biblia
Mathayo 6:9-13
Our Father, Who is in heaven, Holy is Your Name; Your kingdom come, Your will be done, on earth as it is in heaven. Give us this day our daily bread, and forgive us our sins, as we forgive those who sin against us; and lead us not into temptation, but deliver us from evil. Amen.
lazima tuseme yaliyotokea, lazima tutoke misikitini na makanisani,turudie ibada yetu ya kweliSasa kama unalijua hilo kwa nini huachi figisu zako za Ego 'mara sijui wazungu wametufanya ivi na vile'.! Ajabu kweli
Sema hivi_sisi binadamu kwa ujumla wengi wetu ni waovu hapo tutakuelewa
Halafu ndio ukazie na imani yako
Imani inaanza na ulalamishi..! imani gani iyo.!?
Hii nayo ni lugha yetu ya kibantu?You're so blessed
Haswa...kuhani nyabingi ni Mungu mwenyewe....AMEN....BIBLIA YENU HIYO NA QUR'AN INAVIPANDE TU,VILIVYOPOTOSHWA, asilia mia 5 tu ya ukweli wote, ndio Bob Marley na Peter Tosh wakakwambia, half the story have never been told...Hii biblia ndiyo ya kuhani nyabinghi?
umeshaishiwa hoja blackstarline, jiheshimu, hakuna ubaya ukikaa kimya, uwaache wenzio wajifunzeHii nayo ni lugha yetu ya kibantu?
Wewe mancho, hapa sio kwako, ulishakiri wewe wataka baki gerezani, basi waachie wenzio wanaotaka kuwa huru....jiheshimu, hatufanyi masihara hapaSasa kama unalijua hilo kwa nini huachi figisu zako za Ego 'mara sijui wazungu wametufanya ivi na vile'.! Ajabu kweli
Sema hivi_sisi binadamu kwa ujumla wengi wetu ni waovu hapo tutakuelewa
Halafu ndio ukazie na imani yako
Imani inaanza na ulalamishi..! imani gani iyo.!?
Kosa langu ni lipi?umeshaishiwa hoja blackstarline, jiheshimu, hakuna ubaya ukikaa kimya, uwaache wenzio wajifunze
Yakwetu mashetani, yenu ndio mungu????? Mungu mbaguzi akachukue weusi utumwani???? Bila shaka dini zenu ndio Za mashetani, Mungu sio mbaguzi wa rangi, kwanza mungu anaiheshimu sana hii rangi nyeusi na mnalijua hilo, ndio sababu mnatuchukia, kwani Mungu ni mweusi sayansi imethibitisha hilo,inaitwa MELANIN NDIO MADA ILIYOUNDA ULIMWENGU, NDIO RANGI NYEUSIWanataka kuanzisha dini ya mashetani
JiheshimuKosa langu ni lipi?