Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

yesu wa kwenye biblia hakuwa kuzaliwa,hakuwepo,hayupo na hatakuwepo
hakuna historia inayotambua uwepo wa huyo mtu wako
Huo ni ufahamu wako, lakini kuna watu wenye kuamini na kuitakidi Yesu alizaliwa akaishi kama binadamu wengine.
 
pole sana, mizimu yako,iko na wewe sik u zote, wewe kabla ya kuja duniani ulikuwa mzimu, na ukiondoka unarudi kuwa mzimu,mzimu ni roho, tatizo waliokupa dini bandia walikuambia mzimu wa ko ni shetani....pole sana ndugu
Naomba unifafanulie nini mzimu, roho na shetani.
 
Hata sala ya kiislamu pale wakimaliza kusoma Surat fattha wana malizia kwa kusema Ameeeen kwa sauti ya juu kabisa kisha wana sujudu.
Maana ya neno Aamiin (آمين) ni kwamba Mungu tukubaliye, na ni neno lilitotokana na semetic languages hutumika baada ya kumuomba Mungu, nadhani ndiyo neno pekee linalotumiawa na dini hizi 3 (Yahudi, Nasara(Christian) na Islam), halina uhusiano na hayo mambo mnayotaka kuwasadikisha watu.
Sijui nyinyi watu mna ajenda gani? Nadhani hata kwenye mizimu hampo bali mna kitu mnachotaka, anzisheni tu imani zenu mtawapata wa kukufuateni kunako kuzimu, kwani kuna waliyolala usingizi hasa.
 
Hiyo sala ya baba yetu inapatikana wapi ni kaisome?
Uliza walokole, ama soma biblia
Mathayo 6:9-13
Our Father, Who is in heaven, Holy is Your Name; Your kingdom come, Your will be done, on earth as it is in heaven. Give us this day our daily bread, and forgive us our sins, as we forgive those who sin against us; and lead us not into temptation, but deliver us from evil. Amen.
 
Maana ya neno Aamiin (آمين) ni kwamba Mungu tukubaliye, na ni neno lilitotokana na semetic languages hutumika baada ya kumuomba Mungu, nadhani ndiyo neno pekee linalotumiawa na dini hizi 3 (Yahudi, Nasara(Christian) na Islam), halina uhusiano na hayo mambo mnayotaka kuwasadikisha watu.
Sijui nyinyi watu mna ajenda gani? Nadhani hata kwenye mizimu hampo bali mna kitu mnachotaka, anzisheni tu imani zenu mtawapata wa kukufuateni kunako kuzimu, kwani kuna waliyolala usingizi hasa.
Wanataka kuanzisha dini ya mashetani
 
Soma profile, mkikosaga hoja mnaanza ubaguzi,mtu ni roho, sio mwili huu, mbele za Mungu wote ni kitu kimoja
Sasa kama unalijua hilo kwa nini huachi figisu zako za Ego 'mara sijui wazungu wametufanya ivi na vile'.! Ajabu kweli

Sema hivi_sisi binadamu kwa ujumla wengi wetu ni waovu hapo tutakuelewa

Halafu ndio ukazie na imani yako

Imani inaanza na ulalamishi..! imani gani iyo.!?
 
Wanataka kuanzisha dini ya mashetani
Kabla ya kiarabu, na hizo semitic, bara la Africa lilikuwepo...Kiarabu ni lugha changa mno,kuelezea Ubuntu, AMEN ni neno la kibantu cha kale(ancient Egyptian) likiwa na maana ya siri iliyojificha....uislamu, ukiristo,waarabu, hao Wayahudi, vyote viliathiriwa na mafundisho ya mtu huyu mweusi wa kale
 
Uliza walokole, ama soma biblia
Mathayo 6:9-13
Our Father, Who is in heaven, Holy is Your Name; Your kingdom come, Your will be done, on earth as it is in heaven. Give us this day our daily bread, and forgive us our sins, as we forgive those who sin against us; and lead us not into temptation, but deliver us from evil. Amen.
Hii biblia ndiyo ya kuhani nyabinghi?
 
Sasa kama unalijua hilo kwa nini huachi figisu zako za Ego 'mara sijui wazungu wametufanya ivi na vile'.! Ajabu kweli

Sema hivi_sisi binadamu kwa ujumla wengi wetu ni waovu hapo tutakuelewa

Halafu ndio ukazie na imani yako

Imani inaanza na ulalamishi..! imani gani iyo.!?
lazima tuseme yaliyotokea, lazima tutoke misikitini na makanisani,turudie ibada yetu ya kweli
 
Hii biblia ndiyo ya kuhani nyabinghi?
Haswa...kuhani nyabingi ni Mungu mwenyewe....AMEN....BIBLIA YENU HIYO NA QUR'AN INAVIPANDE TU,VILIVYOPOTOSHWA, asilia mia 5 tu ya ukweli wote, ndio Bob Marley na Peter Tosh wakakwambia, half the story have never been told...
ge t up,stand up, stand up for your rights
 
Sasa kama unalijua hilo kwa nini huachi figisu zako za Ego 'mara sijui wazungu wametufanya ivi na vile'.! Ajabu kweli

Sema hivi_sisi binadamu kwa ujumla wengi wetu ni waovu hapo tutakuelewa

Halafu ndio ukazie na imani yako

Imani inaanza na ulalamishi..! imani gani iyo.!?
Wewe mancho, hapa sio kwako, ulishakiri wewe wataka baki gerezani, basi waachie wenzio wanaotaka kuwa huru....jiheshimu, hatufanyi masihara hapa
 
Wanataka kuanzisha dini ya mashetani
Yakwetu mashetani, yenu ndio mungu????? Mungu mbaguzi akachukue weusi utumwani???? Bila shaka dini zenu ndio Za mashetani, Mungu sio mbaguzi wa rangi, kwanza mungu anaiheshimu sana hii rangi nyeusi na mnalijua hilo, ndio sababu mnatuchukia, kwani Mungu ni mweusi sayansi imethibitisha hilo,inaitwa MELANIN NDIO MADA ILIYOUNDA ULIMWENGU, NDIO RANGI NYEUSI
 
Back
Top Bottom