Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

I will refer to the power behind the music industry as the machine. Those that operate and control the machine are like ghosts to the masses, but those that have an open third eye are able to see these ghosts. As I have stated in other blogs, if one doesn’t have a thorough knowledge of the occult, they will never fully understand the secret society within the music industry. Some call this secret society the Illuminati and others refer to them as the elite. Whatever name you call them by doesn’t matter, but what does matter is their silent control that they have over the masses without ever being seen.


cc: Ruge Mutahaba na Clouds Media Group
 
Fatima bint hemedi kuna uzi nina miez miwili sasa nilikua nafikiria kuuandika lakini naona uvivu.kwa thread hii imenipa moyo Kesho mapema naiandika Watu waijue kweli watoke ndani ya Boksi.
Hebu Fanya hivyo
Mweusi tii, asili yake ethiopia, si unaona kisa ubaguzi, wanaificha taswira yake., Hata mchoro wa sura yake. Quran yenyewe mambo mengi yamepotoshwa, na mengine kufichwa....Muhammad alikuwa mpingo, mweusi tii
Tuweke wazi
Muhammad alikuwa mtu wa ajabu mno, mchaji Mungu wa ajabu, yaani hasimuliki utu wake(S.A.W)
Hii mpya kwangu
Naomba ukiandika Uni tag.
Tupo wengi
Naunga mkono hoja fetty.
Asee
I promise bro..
Na Mimi usinisahau
 
Back
Top Bottom