geesten66
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 2,042
- 2,370
Sasa kiranga usha anza kuni furaisha karibu.Kitu cha kwanza ni kukataa utumwa wa hizi dini na kujifungua minyororo yao mawazoni mwetu.
Bila hivyo, tutafikiri ndani ya mipaka waliyotuwekea tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kiranga usha anza kuni furaisha karibu.Kitu cha kwanza ni kukataa utumwa wa hizi dini na kujifungua minyororo yao mawazoni mwetu.
Bila hivyo, tutafikiri ndani ya mipaka waliyotuwekea tu.
Aasante.Sasa kiranga usha anza kuni furaisha karibu.
Kabisa uwezi kujikombowa paka uache Dini zao.Aasante.
Haya mambo yako wazi kabisa mtu akitaka kujitoa utumwa wa mawazo.
Tatizo, watu wengi hawataki kujitoa utumwa wa mawazo.
Asee mbona mnapotosha watu kweupe hivi?siyo amen inatamkwa Aamin kwa kizungu ndiyo inaandikwa amen na maana ya hili neno ni "Na Iwe" na mara nyingi hutamkwa baada ya dua au maombi au kivingine hutumika kama kiitikio baada ya ombi(dua) ila hakuna lugha yeyote iliotanabahisha maana hiyo mnayotakaHata sala ya kiislamu pale wakimaliza kusoma Surat fattha wana malizia kwa kusema Ameeeen kwa sauti ya juu kabisa kisha wana sujudu.
Hii mitandao inasaidia sana lakini upande mwingine inapotosha sana usipokuwa makini ukawa wa kubebabeba tu kila unachosoma unasadiki kiukweli ni rahisi kupotea na kuangamia sijui tunawasaidiaje ndugu zetu hawa maana tayari kwa mujibu mada hii ni kama kuna watu aidha wanataka kuanzisha dini yao ama wamepotoshwa na mitandao...inasikitisha sana lakini pia juhudi kubwa zinahitajika kuwaokoa wandugu hawaMaana ya neno Aamiin (آمين) ni kwamba Mungu tukubaliye, na ni neno lilitotokana na semetic languages hutumika baada ya kumuomba Mungu, nadhani ndiyo neno pekee linalotumiawa na dini hizi 3 (Yahudi, Nasara(Christian) na Islam), halina uhusiano na hayo mambo mnayotaka kuwasadikisha watu.
Sijui nyinyi watu mna ajenda gani? Nadhani hata kwenye mizimu hampo bali mna kitu mnachotaka, anzisheni tu imani zenu mtawapata wa kukufuateni kunako kuzimu, kwani kuna waliyolala usingizi hasa.
Unapotoa hoja uwe unatoa na reference hizo ni imani za watu huwezi tu ukapotosha bila kuwa na reference wapi ambapo Uislamu unasema starehe zote ni dhambi,dhambi ni chochote utakachofanya kwa kuvunja kanuni na sheria ambazo Mungu asie na mfano ameziweka na ukiangalia kiuhalisia dhambi yeyote pia ina athari kwa jamii mfano ambao wewe ulipaswa kuweka nakusaidia hapa kuweka sote tunafahamu starehe kubwa duniani ni kujamiiana lakini kujamiiana hukohuko kunaweza kukawa dhambi au ibada kivipi...rejea ukifata kanuni alizoweka Mungu kwa maana ya ndoa kujamiiana huko ni utapata starehe,ibada na thawabu lakini ukivunja kanuni kwa maana utazini utapata starehe ya muda mchache,majuto na dhambi pia inaweza kusababisha madhara katika jamii kamavile kupatikana watoto wasiokuwa na uhakika wa baba na kupelekea watoto wa mitaani...Starehe yeyote ile kwa mujibu Wa uislamu ni Dhambi.
Pole kwa kutoka kapaHuu Uzi..mh
mkuu hebu nisaidie kunidadavulia uislamu unafungamanaje na uyahudi japo kwa muhtasariUkiamini Uislamu, Ukristo, Uyahudi, umeshakubali kuwa mtumwa wa Wayahudi.
Na huwezi kunasuka na utumwa huo kwa ideologies za matawi ya juu bila kuondokana katika imani zenye mizizi hi.
Hii ni moja ya sababu kila siku napambana na habari za Mungu huyu wa Wayahudi.
Wayahudi wamewadanganya Wazungu kwenye Renaissance kwamba Mungu hataki wawe bankers, ni kazi ya dhambi.
Kisha wao Wayahudi wakachukua kazi zote muhimu za banking Renaissance Venice, Florence, Rome etc.
Na mpaka leo hawajaachia.
Sasa ukikubali dini yao (ambayo matawi yake ni Ukristo na Uislamu), utajikomboaje kama Muafrika?
Uislamu umeanzishwa kama movement ya Waarabu baada ya Waarabu kuwaonea gele Wayahudi wana dini yao ya kitabu na Waarabu hawana. Ukisoma Quran inaongelea "People of the Book" maana yake Wakristo na Wayahudi.mkuu hebu nisaidie kunidadavulia uislamu unafungamanaje na uyahudi japo kwa muhtasari
umeshafanya utafiti wa kutosha juu ya msingi wa imani ya uislamu?,sababu kwa mujibu wa imani ya uislamu haijaanza na muhammad(s.a.w) sisi tunaamini kuwa dini ya uslamu ndio dini ya kwanza kabisa ambayo aliiamini adam,ibrahim,mussa,yesu mpaka kwa muhammad(s.a.w) sisi hatuamini kuwa musa alikuwa mfuasi wa imani ya kiyahudi bali muislamu.so huo uyahudi ndio dini mpya na sio uislamu.Uislamu umeanzishwa kama movement ya Waarabu baada ya Waarabu kuwaonea gele Wayahudi wana dini yao ya kitabu na Waarabu hawana. Ukisoma Quran inaongelea "People of the Book" maana yake Wakristo na Wayahudi.
Kipindi cha mwanzo cha Uislamu, misikitini watu walikuwa hawaelekei Kibra Mecca, walikuwa wanaelekea Jerusalem.
Mitume na watu wengi sana walioelezwa jatika vitabu vya Wayahudi, kuanzia Adam, Musa, Ibrahim mpaka Yesu (Isa bin Mariam) wanatambulika katika Uislamu kama mitume. Musa katajwa kwenye Quran kuliko mtu mwingine yeyote.
Uyahudi, Ukristo na Uislamu zote zinaitwa "Abrahamic" religion kwa sababu zinachangua historia moja. Uislamu umesukumwa sana na Uyahudi katika misingi yake, sheria na kazi zake.
For more, see this Wiki
Islamic–Jewish relations - Wikipedia
Ni lazima tujue wapi tunachukua elimu zetu, hususan za dini, kwani kila mtu anafanya kitu kutokana na niya yake, na ni vigumu kujua niya ya mtu. Na sisi tumejificha nyuma ya pc au smart phone tunaandika tuyatakayo kama vile hatutakuwa accountable kwa tunayoyafanya, ni ombi langu kubwa tuitumie hii neema ya mitandao katika kuleta umoja, upendo na amani, tunaweza tukatofautiana kifikra na kimtazamo lakini tutabaki kuwa tunahitajiana katika maisha.Hii mitandao inasaidia sana lakini upande mwingine inapotosha sana usipokuwa makini ukawa wa kubebabeba tu kila unachosoma unasadiki kiukweli ni rahisi kupotea na kuangamia sijui tunawasaidiaje ndugu zetu hawa maana tayari kwa mujibu mada hii ni kama kuna watu aidha wanataka kuanzisha dini yao ama wamepotoshwa na mitandao...inasikitisha sana lakini pia juhudi kubwa zinahitajika kuwaokoa wandugu hawa
Wewe kweli ni kiranga kama jina lako likivyo, unaleta ushahidi wa wikipedia hapa? A u serious? Wikipedia ipo chini ya israel elite.Uislamu umeanzishwa kama movement ya Waarabu baada ya Waarabu kuwaonea gele Wayahudi wana dini yao ya kitabu na Waarabu hawana. Ukisoma Quran inaongelea "People of the Book" maana yake Wakristo na Wayahudi.
Kipindi cha mwanzo cha Uislamu, misikitini watu walikuwa hawaelekei Kibra Mecca, walikuwa wanaelekea Jerusalem.
Mitume na watu wengi sana walioelezwa jatika vitabu vya Wayahudi, kuanzia Adam, Musa, Ibrahim mpaka Yesu (Isa bin Mariam) wanatambulika katika Uislamu kama mitume. Musa katajwa kwenye Quran kuliko mtu mwingine yeyote.
Uyahudi, Ukristo na Uislamu zote zinaitwa "Abrahamic" religion kwa sababu zinachangua historia moja. Uislamu umesukumwa sana na Uyahudi katika misingi yake, sheria na kazi zake.
For more, see this Wiki
Islamic–Jewish relations - Wikipedia
Hao ndio easaka tonge, wanataka kuaminisha watu uchawi kama ndio njia sahihi ya maisha.umeshafanya utafiti wa kutosha juu ya msingi wa imani ya uislamu?,sababu kwa mujibu wa imani ya uislamu haijaanza na muhammad(s.a.w) sisi tunaamini kuwa dini ya uslamu ndio dini ya kwanza kabisa ambayo aliiamini adam,ibrahim,mussa,yesu mpaka kwa muhammad(s.a.w) sisi hatuamini kuwa musa alikuwa mfuasi wa imani ya kiyahudi bali muislamu.so huo uyahudi ndio dini mpya na sio uislamu.
Ushahidi wa Wikipedia ukoje?Wewe kweli ni kiranga kama jina lako likivyo, unaleta ushahidi wa wikipedia hapa? A u serious? Wikipedia ipo chini ya israel elite.
Hebu tuwe serious kam huku ndio kujulikomboa bora tufanyekazi ili tusaidie familia zetu na baa la NJAA.
Kiranga kaka labda hujanielewa, nilibase kwenye ushahidi wako wa wikipedia.Ushahidi wa Wikipedia ukoje?
Unaelewa tunajadili hoja na si hoja imetoka wapi?
Unaelewa hata saa iliyosimama inakuwa sawa mara mbili kila siku?
Unaelewa hoja inapingwa kwa hoja na si kwa ad hominem attack?
Unaelewa kwamba Wikipedia imeletwa kama sehemu ya kuanzia mjadala na si kumalizia?
Unaelewa kwamba hiyo Wikioedia unayoikandia ina sources mbalimbali ambazo hujawahi kuzisoma?
Unaelewa nimeandika habari za Quran, Old Testament na Jewish scriptures ambazo zilikuwepo kabla internet haijafikiriwa?
Unaelewa kwamba umeshindwa kupinga hoja kwa hoja na umeleta kiroja?