Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,760
- 6,921
Wananchi kukamuliwa hawataacha kukamuliwa mana tuna serikali ya mafisadi.Nyie kila kitu ni kuwakamua wananchi.
Kwanini msiseme mpunguze pesa za kununua gari za kifahari badala yake zielekezwe kununua gari za taka na vifaa vya usafi?
Wabongo hawalipi hiyo control namba,mfumo mzuri ni huo wa kukata moja kwa moja ndio utapata hela kwa uhakika,kikubwa ufanyike upambuzi yakinifu kulingana na ukubwa wa eneo la uzalishaji wa taka/jengo.Sasa mita moja wanatumia familia ya watu 20. Huoni hapo kuna hasara itajitokeza?
Hapo ishu ni serikali za mitaa, iwepo control number ya kila kata, wazabuni wachukue pesa serikali za mitaa na malipo yafanyike kupitia control number na sio cash.
Kila Kaya itapaswa itoe 3k ya taka kila mwezi.
Kila mtu akilipia control number pawe na mfumo wa kuweka namba ya simu na jina. Ili kumbukumbu zibaki kwenye mfumo. Aliyelipa na asiyelipa,, lini na kiasi gani itakuwa wazi.
Kuchoma taka iwe marufuku isipokuwa kwa kibali maalumu.
Issue ni kufanya usafi siyo kutoa pesa Watibeli mbona mmeanza kuchuja sanaSasa mita moja wanatumia familia ya watu 20. Huoni hapo kuna hasara itajitokeza?
Hapo ishu ni serikali za mitaa, iwepo control number ya kila kata, wazabuni wachukue pesa serikali za mitaa na malipo yafanyike kupitia control number na sio cash.
Kila Kaya itapaswa itoe 3k ya taka kila mwezi.
Kila mtu akilipia control number pawe na mfumo wa kuweka namba ya simu na jina. Ili kumbukumbu zibaki kwenye mfumo. Aliyelipa na asiyelipa,, lini na kiasi gani itakuwa wazi.
Kuchoma taka iwe marufuku isipokuwa kwa kibali maalumu.
Ungelenga zaidi miji mikubwa na ya kati ambayo ina changamoto ya uzalishaji mwingi wa taka.Vijijini taka za majumbani siyo changamoto!
Nami nimeomba kama wewe! Ila nimesikitika.Mungu nifundishe kunyamaza