Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Wabongo hawalipi hiyo control namba,mfumo mzuri ni huo wa kukata moja kwa moja ndio utapata hela kwa uhakika,kikubwa ufanyike upambuzi yakinifu kulingana na ukubwa wa eneo la uzalishaji wa taka/jengo.
Shida inakuja huduma ya kutoa taka itatolewa kwa wakati mana hii serikali kwa ufisadi imevuka kikomo.
Hawalipi kwa sababu hakuna ufuatiliaji na usimamizi.
Nimekuambia mita ya luku moja inaweza kubeba majengo matano yenye wapangaji hamsini.
Hiyo elfu 6 itakuwa ni hasara.
Lakini kila Kaya ambapo ni jukumu la serikali za mtaa kujua mtaa au kata hiyo inakaya ngapi ni rahisi sana kufanya monitoring.
Haya nyumba inawapangaji 10.
Watano hawajalipa taka na watano wamelipa. Utakataje direct?