Tuanze kukusanya ushuru wa taka kupitia TANESCO!

Hizi ndio think tank za Ccm, badala ya kutafuta suluhu zinawaza namna ya kumkamua mwananchi.
Always watu kama ninyi hamkosekani kwenye mijadala, lakini mkipita mitaani mkaona kulivyo kusafi ndio wa kwanza kusifia.
 
Ili kuimarisha usafi wa mazingira yetu napendekeza tuanze kukusanya ushuru wa taka kupitia mita za luku.

Tsh 6,000 kwa mwezi kwa kila mita, sawa na wastani wa Tsh 200 kwa siku.
Tanesco wakishakusanya pesa hizi wazipeleke kwenye mkoa husika.

According to sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. Kuna nyumba taribani milioni 12 hadi sasa.

Tukifanikiwa kukusanya fedha hizi kwa angalau nyumba milioni 10, tuna uwezo wa kukusanya Tsh bilioni 720 kwa mwaka.

Mikoa iwezeshwe kukopa mikopo ya kibiashara na kununua matipa (Howo/ Faw au Shacman), angalau tipa mbili kwa kila kata za mjini na tipa 1 kwa kata za vijijini.

Wizara ya tamisemi kwa kushirikiana na wizara ya mazingira waingie MOU na Tanesco ili zoezi la ukusanyaji wa ushuru wa taka kupitia mita za luku uanze mara moja.

Tukifanya hivi tutafanikiwa kuboresha usafi wa mazingira yetu
Mkhundu ukisha tumika sana kufiliwa huwa unaanza kuvujisha akili nadhani ndio tatizo linalo kusumbua wewe
 
Hizi ndio think tank za Ccm, badala ya kutafuta suluhu zinawaza namna ya kumkamua mwananchi.
Mkuu. Hizi sio tozo mpya. Ushuru wa taka upo huko mitaani ila ukusanyaji wake ndio umekuwa shida. Tukitumia Tanesco, ukusanyaji utarahisishwa.
 
Ili kuimarisha usafi wa mazingira yetu napendekeza tuanze kukusanya ushuru wa taka kupitia mita za luku.

Tsh 6,000 kwa mwezi kwa kila mita, sawa na wastani wa Tsh 200 kwa siku.
Tanesco wakishakusanya pesa hizi wazipeleke kwenye mkoa husika.

According to sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. Kuna nyumba taribani milioni 12 hadi sasa.

Tukifanikiwa kukusanya fedha hizi kwa angalau nyumba milioni 10, tuna uwezo wa kukusanya Tsh bilioni 720 kwa mwaka.

Mikoa iwezeshwe kukopa mikopo ya kibiashara na kununua matipa (Howo/ Faw au Shacman), angalau tipa mbili kwa kila kata za mjini na tipa 1 kwa kata za vijijini.

Wizara ya tamisemi kwa kushirikiana na wizara ya mazingira waingie MOU na Tanesco ili zoezi la ukusanyaji wa ushuru wa taka kupitia mita za luku uanze mara moja.

Tukifanya hivi tutafanikiwa kuboresha usafi wa mazingira yetu
wewe kama nani
 
Hivi watu wengine wanawaza nn jamani kila kitu mwananchi alipe,, tunako enda mtasema hata pumzi tuanze kuilipia sasa
 
Bora hivi wazabuni wadogo wadogo wa mtaa. Huko watakula hela na usafi hautafanyika.
 
Ndio mnachowaza tu kuwakamua wananchi sijui hizo sector za biashara, utalii, kilimo, uvuvi, madini, misitu na maliasili nyingine nyingi pesa huwa mnapeleka wapi
 
Ili kuimarisha usafi wa mazingira yetu napendekeza tuanze kukusanya ushuru wa taka kupitia mita za luku.

Tsh 6,000 kwa mwezi kwa kila mita, sawa na wastani wa Tsh 200 kwa siku.
Tanesco wakishakusanya pesa hizi wazipeleke kwenye mkoa husika.

According to sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. Kuna nyumba taribani milioni 12 hadi sasa.

Tukifanikiwa kukusanya fedha hizi kwa angalau nyumba milioni 10, tuna uwezo wa kukusanya Tsh bilioni 720 kwa mwaka.

Mikoa iwezeshwe kukopa mikopo ya kibiashara na kununua matipa (Howo/ Faw au Shacman), angalau tipa mbili kwa kila kata za mjini na tipa 1 kwa kata za vijijini.

Wizara ya tamisemi kwa kushirikiana na wizara ya mazingira waingie MOU na Tanesco ili zoezi la ukusanyaji wa ushuru wa taka kupitia mita za luku uanze mara moja.

Tukifanya hivi tutafanikiwa kuboresha usafi wa mazingira yetu
Mpango mzuri ila hizo 720B mbona WAHUNI wanazipiga tu? Siyo kama Serikali haina zipo ila WAHUNI wanazipiga wanaenda kujenga MAMANSIONS ya MABILIONI MBWENI JKT.
 
Wabongo hawalipi hiyo control namba,mfumo mzuri ni huo wa kukata moja kwa moja ndio utapata hela kwa uhakika,kikubwa ufanyike upambuzi yakinifu kulingana na ukubwa wa eneo la uzalishaji wa taka/jengo.

Shida inakuja huduma ya kutoa taka itatolewa kwa wakati mana hii serikali kwa ufisadi imevuka kikomo.
Na ambao nyumba zao hazina umeme utawakata wapi?
Halafu kwani chanzo cha majiji kuwa machafu ni serikali kutokuwa na pesa?
 
Back
Top Bottom