CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
PUMBAVU KABISA
SASA KODI ZETU ZINAENDA WAPI?????
FAMBA NO 1
SASA KODI ZETU ZINAENDA WAPI?????
FAMBA NO 1
Ni ukweli pesa ya taka ilitakiwa ilipwe kupitia luku ..kwa kila unit kuwe na pesa ya taka..Mleta uzi alipo kosea nikusema kwa mwezi ...ILITAKIWE ASEME KWA KILA UNIT KUWE NA ASILIMIA YA PESA YA TAKA ...MAANA YAKE MATUMIZI YA UMEME YAKIWA MAKUBWA NA PESA YA TAKA INAONGEZEKA ...HIYO YA KWA MWEZI NI UPUMBAVU ..MAANA YAKE HATA MTU AKIWA HAYUPO NA HATUMII UMEME BADO ANATAKIWA KULIPA ELFU 6 KILA MWEZI.. NONSENSEIli kuimarisha usafi wa mazingira yetu napendekeza tuanze kukusanya ushuru wa taka kupitia mita za luku.
Tsh 6,000 kwa mwezi kwa kila mita, sawa na wastani wa Tsh 200 kwa siku.
Tanesco wakishakusanya pesa hizi wazipeleke kwenye mkoa husika.
According to sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. Kuna nyumba taribani milioni 12 hadi sasa.
Tukifanikiwa kukusanya fedha hizi kwa angalau nyumba milioni 10, tuna uwezo wa kukusanya Tsh bilioni 720 kwa mwaka.
Mikoa iwezeshwe kukopa mikopo ya kibiashara na kununua matipa (Howo/ Faw au Shacman), angalau tipa mbili kwa kila kata za mjini na tipa 1 kwa kata za vijijini.
Wizara ya tamisemi kwa kushirikiana na wizara ya mazingira waingie MOU na Tanesco ili zoezi la ukusanyaji wa ushuru wa taka kupitia mita za luku uanze mara moja.
Tukifanya hivi tutafanikiwa kuboresha usafi wa mazingira yetu
Kabisa mkuu yani kuna watu uwezo mdgo wa kufikiriHii nchi Ina watu makuma hii ...
Muanze kwa vitendo kwanza tuone matokeo ndipo swala la hela lifuate! Mitaa kibao michafuu na haipo kwenye makazi ya watu, anzeni huko tuone uthubutu!! Mmekomalia pesa tu, mtusaidie kuelewa na hiyo kodi ya jengo inayolipwa kupitia tanesco ina umuhimu gani kama sio upigaji tu mitaa michafuu! Si mchukue izo kodi za kila mwezi mjilipe kusafisha miji!Mkuu, lengo sio kumuumiza mtu bali lengo ni kuboresha mfumo wa ukusanyaji taka.
Tunataka ndani ya miaka miwili nchi yetu iwe safi kama Rwanda.
Babu upo sawa sanaUsafi ni jukumu la uongozi wa miji ni huduma sio kodi